Heshima zenu wana jukwaa,
Nauza kiwanja maeneo ya chanika, kia msingi mzuri tayari wa vyumba vitatu, sebule, jiko,sehemu ya kula, master
Aliyetayari anipm, tuwasilane vizuri, bado sijapata...
Yoyote ambaye yuko tayari kununua au anahitaji kuwa kama wakala au dalali wa huu mzigo
Yapo IRINGA-KILOLO
Kwa maelezo zaidi
Nitafute kwa namba hii
Thumbup: 0755 064 623, 0673 944 787
Jamani mwenye kujua nitapateje bajaj aina ya tvs iliyo nzima , inafanya kazi, bodi zima na isiyo na deni TRA.
Bajeti yangu ni 1.5m. Tarehe hitaji ni 13 may 2015.
Bajaj itafanya kazi Dodoma
Je...
Imetumika ila iko katika hali nzuri na haina tatizo lolote.
Ina 5mp back camera na front camera pia inayo.
Internal 4gb na ram 512.
Bei 120,000.
Mawasiliano 0654757570
Mwanza.
Ipo Buguruni njia ya kwenda kwa mnyamani kituo cha msikitini, ipo pembeni ya barabara ya lami, eneo ni la biashara maduka mengi yapo inaukubwa wa ambao unaweza kugawanya mara mbili bei 300,000...
Nyumba angalau iwe chumba na sebule, jiko na choo cha kujitegemea, maji na luku ikijitegemea itakua njema zaidi, maeneo ya Magomeni, Sinza, Mwenge au Kimara mwisho, Baruti tokea Ubungo, sina mda...
Kwa wale mnaoishi Shinyanga Mjini, nauza kwa bei ya kutupa Kiwanja ( high density) kwa 1.7 million, kimepimwa tayari, maji umeme vipo, kipo eneo la Bushushu.
Anayeitaji tu wasiliane kwa PM.
Habari,
Nauza Suzuki carry bei 6.0M.
Ipo kwenye condition nzuri.
Ina Bima inayoisha Agust,2015 na kibali icha TRA kinachoisha July,2015.
Kama unahitaji please PM.
Kama ww ni mwalimu mpya umepangiwa wilaya ya Kibondo. Kuna nyumba inapangishwa kibindo mjini karibu na stendi mpya. Nyumba ni mpya ina maji na umeme na haina mpangaji. Nyumba ina jumla ya vyumba 4...
Habari zenu wana jf. Natafuta frame ya zaidi ya dimensions za 20x11 maeneo ya ubungo. Lengo ni kufungua mgahawa wa kuuza chakula na frame iwe kubwa kiasi cha kupata mahali pa kubwa pa kupikia na...
Eneo linauzwa CHANIKA.Lina vipande nane vya ukubwa wa 20*20.Kipande kimoja kinauza shilingi Milioni Tatu na Laki Mbili tu.Maelewano yapo.Ni kuzuri.Barabara,maji na umeme vipo karibu.Makazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.