Kiwanja kinauzwa Shinyanga Manispaa kwa bei chee

tethering

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
331
Reaction score
139
Kwa wale mnaoishi Shinyanga Mjini, nauza kwa bei ya kutupa Kiwanja ( high density) kwa 1.7 million, kimepimwa tayari, maji umeme vipo, kipo eneo la Bushushu.

Anayeitaji tu wasiliane kwa PM.
 
kina ukubwa gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom