Nyumba ya kupanga inahitajika

Nyumba ya kupanga inahitajika

rilprogrammer

Member
Joined
Jun 5, 2011
Posts
94
Reaction score
19
Nyumba angalau iwe chumba na sebule, jiko na choo cha kujitegemea, maji na luku ikijitegemea itakua njema zaidi, maeneo ya Magomeni, Sinza, Mwenge au Kimara mwisho, Baruti tokea Ubungo, sina mda wa kuzunguka kwahiyo dalali au mwenye nyumba inayokidhi mahitaji hayo ani pm, tutapeana taarifa zaidi ikiwemo kunitumia picha.

Asanteni sana

Thread closed....
 
Back
Top Bottom