Ipo Buguruni njia ya kwenda kwa mnyamani kituo cha msikitini, ipo pembeni ya barabara ya lami, eneo ni la biashara maduka mengi yapo inaukubwa wa ambao unaweza kugawanya mara mbili bei 300,000 kwa mwezi anachukua mpaka miezi 6.
Mimi ni dalali 0657145555
Mimi ni dalali 0657145555