Tumerudi once again baada ya Ogwhatsapp kupigwa ban basi tumekuja na cranked apk nyingine utatumia whatsapp mbili kwa simu moja Na pia kwa wale wanaopenda Kutumia namba za nje via WhatsApp pia...
salaam,mashuka yanapatikana ya cotton size 7/8 ,bei ni 25,000 tshs,ni makubwa,hayachuji,hayatelezi ukilalia,ni shuka moja na foronya mbili,napatikana segerea,ukihitaji mzigo unaletewa,mkoani...
husika na kichwa hapo nauza Automatic pump control ni mpya na sijawahi kunitumia , hii unafanya kazi pamoja na pump ya kupandishia maji sana sana kwenye pipa la maji, Huna hata ya kumsumbua...
Ndugu;salam zenu nyote... yeyote ajuaye kiwanja knapopatkana iwe kigambon mjimwema kiwanja kikubwa na kizur (ikbd kilichopimwa) bajet yangu n 5ml..... na pia chamaz km kipo.. natanguliza shukran...
Natafta nyumba ya kupanga inayoweza kukaa watu wawili (sharing) . Makumbusho , msasani Mwenge or isiwe mbali na posta na isiwe ghali sana . Nipe pm / offer
Nyumba mpya inapangishwa maeneo ya Kunduchi Beachi karibu na hoteli ya Silver Sands. Nyumba ina eneo la mita za mraba 300, vyumba 3, sebule, jiko na eneo la kutosha kwaajili ya maegesho ya gari...
Salamu zenu wote,
Nauza mafuta ya kupikia ya Alizeti ni mafuta halisi na yamethibitshwa na TBS. Bei ni kama ifuatavyo:-
Galoni za Lita 5x4(katoni 1) ni Tsh 60,000/-
Galoni za lita 3x6(katoni...
Habar wana jf.Kwa mahitaji yako yako viatu na handbag bomba za mitumba usisite kuwasiliana nasi dar tunakuletea ulipo mkoani tunatuma pia unaweza kutofollow pia instagram account...