Habari zenu wanajamvi,
Nauza nyumba yangu mwenyewe sio dalali, ipo wilayani Maswa mkoani Shinyanga mtaa wa Dodoma, kama upo serious nichek tufanye biashara, bei ni maelewano, ndani ya eneo la...
Waungwana nauza nyumba eneo la TABATA karibu na Baa maarufu Da'west park, eneo limepimwa na lina hati ya makazi, eneo liko barabarani kabisa, kuna nyumba kubwa ya vyumba vinne, kunaeneo tupu...
Kama hichwa cha thread kinavyojieleza,Kuna rmtu anauza plot yake ya ft 50/60 ambayo tayari ina mabanda ya uhani (vyumba vitatu) kwa Tsh Million 10.
Nyumba ipo eneo zuri na site haina...
Nyumba inauzwa nyegezi Bondeni, mtaa wa Nyamazobe iko njiani mkono wa kushoto ukiwa unapandisha na barabara ya kwenda shule ya msingi Nyasubi,jirani na kwa Lugiko.
Ina vyumba vitatu na siting...
Bei tsh milioni 25
Iko Mwemberadu kigamboni Km 2 toka kwenye Pantoni
+vyumba vinne
+Sebule
+tiles
Ina Umeme
Maongezi Yapo
Unaweza ifanya hostel, kwani kuna wanafunzi wengi wa chuo wanahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.