House4Sale Nyumba Hii Inauzwa Kigamboni mil 28

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
3,079
2,152
Ina vyumba vinne Na Sebule
Iko Mwemberadu km 2 toka Ferry
Ina umeme na tiles

Bei tsh milioni 28

Unaweza ifanya hostel, kwani kuna wanafunzi wengi wa chuo wanahitaji maeneo ya karibu na ferry
______________________________
Nakapokea Na kutangaza Bure matamgazo ya nyumba,viwanja, mashamba ,magari n.k

Mob/wtsp:+255718295182
______________________________
Bango
2ba86cea20ef8eb13ffa1e1a7f2d2db6.jpg
6be0932b11bfa4ab8cd479ac3b25442d.jpg
8f5d83a63240836dd12dd597002a8225.jpg
e5de2d4f5d3732189673c8b699a40fb1.jpg
 
Mkuu vipi hutaki tubadilishane kwa gari..nikupe bus rosa eingine 4d33 .inabeba watu 26..ya mwaka 2000..lakini sio high roof.haijatumika ipo zenji.. gharama yake 35m lakini nitakubali tubadiishane hiyo nyumba..
 
Asante kwa ofa yako chief ila sina malengo na gari kwa sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom