frame inapangishwa kariakoo mtaa wa likoma na muhonda ina ukubwa wa fut saba upana na urefu ni fut kumi juu ina store iko two in one bei laki 5 inatakiwa kodi ya miez 6 ila hata minne unaweza...
Wanajamii habari zenu,
Namtafutia mdogo wangu nyumba ya kupanga Mkoani Mbeya iwe maeneo ya Sae, forest Iramba au Mjini yenye iwe self contained yenye chumba cha kulala, sebule, jiko na choo iwe...
Wana JF,
Kuna ekari 50 za kijiji cha Kivinja B zinauzwa zote kwa Shs. 20,000,000/= tu. Anayetaka awasiliane nami: terabojo@gmail.com Ukiafikiana na uongozi wa kijiji utalipa kupitia katknakaunta...
Habari wana jf tunahitaji watu wa kuuza viatu aina ya sandozi za kike na zakiume pia kwa wale wanaojua kushona maua ya shanga kwenye viatu vya kike wanahitajika. tunapatikana gongo la mboto...
1. Successful completion of the CISA Examination
The examination is open to all individuals who have an interest in information systems audit, control and security. All are encouraged to work...
Wadau,
Nahitaji mkopo wa vitu vya ndani kama TV na friji halafu nilipe kidogo kidogo kila mwezi itategemea na makubaliano na bei ya hivyo hitu. Wapi naweza kupata? Mimi nafanya kazi hapa Dar es...
habari wadau asanteni kwa wote ambao mlinichek wiki iliyopita na kufanikiwa kuweza kufanya muamala wa laptop.leo tena nimeleta kazi ingine nahitaji laptop.yenye sifa zifuatazo
1-Processor : core...
Wandugu habari,
Nina taka kuanzisha biashara ya kufuga nguruwe na kuuza wanapofikia ukubwa nnao hitaji,nimekwisha fanya construction zote muhimu kwasasa nipo katika hatua za mwisho.
Mpango wangu...
kiwanja kipo Msakuzi mita kama 500, toka kituo cha mwisho cha daladala!
Kiwanja cha ukubwa wa miguu 30x20,
kipo kwenye mtaa
kinafikiwa na barabara yaani T junction,
umeme upo karibu huitaji...
habari za humu wandugu me ni mtz nadeal na utengenezaji wa celling za gypsum acoustik pamoja na gypsum partition
maelezo zaidi
email vankiwelu@gmail.com
Kama unahitaji milango, madirisha au fenicha zingine za miti mizuri ya Mkongo, Mninga, Panga panga kwa BEI NAFUU SANA niinbox nikusaidie kujenga nyumba bora na sio bora nyumba.
Karibuni.
Ipo Ada Estate Kinondoni. Nyumba ya pili toka barabara ya Ally Hassan Mwinyi. Inatazamana na leaders club. Ina vyumba 2 vya kulala sebule kubwa jiko store, ni apartment. Bei lake 9 kwa mwezi...