Suzuki maruti omni inauzwa 3.9ml

Suzuki maruti omni inauzwa 3.9ml

NOSVELA

Senior Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
198
Reaction score
27
Nauza suzuki maruti omni, kama inavyoonekana kwenye picha, ni no b, manual imetembea 63,000km za india, ina siti nyuma na inafaa kwa abria au kubebea box .

Mawasiliano 0754 59 52 56
 

Attachments

  • hans 873.jpg
    hans 873.jpg
    624.7 KB · Views: 765
  • hans 872.jpg
    hans 872.jpg
    288.6 KB · Views: 651
Unaposema ni Km za India, ina maana India wana mfumo wao wa kusoma Km ama?
 
Vp kuhusu vibali vyake? Mim nina 2.5, please ni pm kama itakulipa
 
vp kuhusu vibali vyake? Mim nina 2.5, please ni pm kama itakulipa

mkuu nipe 3.5ml nikupe hata kama unaenda dar mbeya au dar ar unaenda tu vbali vyote tair na kila kitukipo ok ni pesa tuu unachukua gari
 
Gari ipo arusha na unaweza kwenda nayo mkoa wowote
 
Piga simu mkuuu tuongee biashara namba zipo kwenye tangazo hapo juu
 
Sasa wewe NOSVELA, mbona unaweka namba zisizo za kwako... au umekosea?
 
Kama bado gari iko ncheki kwa pm mim nko na 2.5, seriously
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom