Karibu upate Masai Sendo kwa bei poa

Karibu upate Masai Sendo kwa bei poa

Joined
Apr 3, 2015
Posts
41
Reaction score
5
Ukiingia ndani ya 100 sandals Co. Utapendeza tuu.100 Sandals Co. ni wauzaji wa sendo bora za kiume na kike kwa bei ya jumla na rejareja. Bei zetu ni poa kwa maelewano yakuridhisha.popote mteja atakapokuwa tutamfikia na bidhaa zetu.100 Sandals Co. Ndio suluhisho kwa uzuri wako..kwa mawasiliano zaidi piga +255765596933 na pia tupo WhatsApp kwa 0765596933.baadhi ya picha za bidhaa zetu hizi hapa chini
 

Attachments

  • 1428079607999.jpg
    1428079607999.jpg
    22.2 KB · Views: 805
  • 1428079643210.jpg
    1428079643210.jpg
    41.8 KB · Views: 780
  • 1428079814513.jpg
    1428079814513.jpg
    52 KB · Views: 803
  • 1428079883182.jpg
    1428079883182.jpg
    65.8 KB · Views: 776
  • 1428079964118.jpg
    1428079964118.jpg
    48 KB · Views: 695
Mimi ni mtumiaji wa hizo sendo, ushauri wangu kama mtaweza kuboresha "sole" ikawa nyepesi lakini ikadumu katika mazingira ya unyevu pia ingeongeza ubora pia.
 
Punje nimekupata!hizi soli zake ni nyepesi sio nzito kama solo za Kenya,,,,hizi ni sendo kama zile za arusha ni nyepesi na zinadumu,
 
Makenze kama unahitaji bei nicheck whatsapp au piga kwenye namba nliyotoa..
 
Bei kaka bei, weka bei mkuu fanya biashara za kisasa bana kila ktu bei!
 
Sendo za flat jumla 11000 na rejareja 15000 na MAKIRIKIRI jumla ni 25000-30000 na rejareja ni 30000-35000...VIATU havichuji rangi unaweza kuogea na vinadumu na nivyepesi ...
 
Sendo za flat jumla 11000 na rejareja 15000 na MAKIRIKIRI jumla ni 25000-30000 na rejareja ni 30000-35000...VIATU havichuji rangi unaweza kuogea na vinadumu na nivyepesi ...

Jumla vinaanzia pair ngapi? Duka sehemu gani?
 
Jumla ni kuanzia pair 5 na kuendelea!!duka lipo DODOMA St John na pia tunawakala wetu dar!na mikoa mingine tunatuma kwa mabasi..
 
@ 100 SANDALS CO Weka na picha na bei za sandals za kiume pia.
 
Nimejaribi kuweka picha zaidi but jf wanasema I don't have a permission kuweka picha,,sijui tatizo ni nini wakuu,,ila bei za kiume jumla ni 11000 na rejareja ni 15000
 
päiva;12349824 said:
@ 100 SANDALS CO Weka na picha na bei za sandals za kiume pia.

Usijali pa'iva bei ya sendo za kiume na kike kwa bei ya jumla ni 11000 na rejareja ni 15000!!!picha hizo hapo
 

Attachments

  • 1428240962474.jpg
    1428240962474.jpg
    85.7 KB · Views: 324
  • 1428241106379.jpg
    1428241106379.jpg
    69 KB · Views: 324

Attachments

  • 1428243171456.jpg
    1428243171456.jpg
    51.1 KB · Views: 303
  • 1428243223768.jpg
    1428243223768.jpg
    66.3 KB · Views: 296
  • 1428243871798.jpg
    1428243871798.jpg
    52.5 KB · Views: 312
  • 1428243946130.jpg
    1428243946130.jpg
    76.8 KB · Views: 304
Back
Top Bottom