Samsung s3 used ninazo 2 nauza sh 350,000

Kalwe

Senior Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
164
Reaction score
44
Nauza hizo simu 2 ni used,nimeletewa na jamaa yangu kutoka nje,ni pm
 
Attachments

  • s3.jpg
    s3.jpg
    15.5 KB · Views: 197
  • s3-1.jpg
    s3-1.jpg
    8.4 KB · Views: 198
ongeza hela na uwe serious
Mpwa, kuwa serious kiaje? Maana nilikua natafuta S4 tangu juzi na nimepost hapa jukwaani, kuna mtu akaniambia tofauti ya S# na S4 ni ndogo sana, sasa ukiniambia niwe serious tena, sielewi! Kama ina maslahi njoo PM nikuelekeze mahali kwa mtu umpelekee akupe pesa
 
S4 unatoa sh ngapi nikuagizie kwa jamaa yangu
 
Mkubwa 290k mana naona watu wanadengua na mizigo ipo ya mana.
 
Ha ha ha ha we bana waniacha hoi Sana kila tangazo la SIMU unatoa offer kwa kila aina ya SIMU hivi uko serious au fahari ya macho tu??
 
Mpwa, kuwa serious kiaje? Maana nilikua natafuta S4 tangu juzi na nimepost hapa jukwaani, kuna mtu akaniambia tofauti ya S# na S4 ni ndogo sana, sasa ukiniambia niwe serious tena, sielewi! Kama ina maslahi njoo PM nikuelekeze mahali kwa mtu umpelekee akupe pesa

Mpwa S3 used kwa Bei hiyo achana nayo then sikushauri kabisa ts better ubaki na plan yako ya S4 nenda kariakoo mtafute punga matelephone utazipata nyingi tuu. na kwa Bei poaa....
 
Ha ha ha ha we bana waniacha hoi Sana kila tangazo la SIMU unatoa offer kwa kila aina ya SIMU hivi uko serious au fahari ya macho tu??

kubari ofa kama sijaoa hiyo sim?
 
Mpwa S3 used kwa Bei hiyo achana nayo then sikushauri kabisa ts better ubaki na plan yako ya S4 nenda kariakoo mtafute punga matelephone utazipata nyingi tuu. na kwa Bei poaa....

kama kweli hvi ndo mana mim cm used kwangu haivuki 350k hata kama ni iphone 6 au s6 mana kuna uwizi humo humo mara aliuwawa mwenye simu hiyo na ziliibiwa bilioni tatu kwenye gali alokuwamo marehem ko chunga sana. Ladba kuwa na mkataba naudraft mwenyewe naustamp na muuzaji atasworn affidaviti kwamba hyo simu ni yakwake au ameipataje na lolote baya likimkuta mnunuzi kuhusu uwizi muuzaji atakuwa answerable to the former and not the bonafide purchaser! We unaeuza hapa cm njoo jibu kama utakubali haya na 290k sio zaidi Used sim.
 
Shika adabu yako kijana!

ipi? Acha kudiscarage watu ukiniheshimu nakuheshimu marambili yake ukinirorosa i do the same twicely so take your words with caution! But cool nafuta hyo sms an am do hereby going to erase the same.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom