Ramani ya vyumba viwili, chumba kimoja masta, kingine cha kawaida, pia ina;
~sebule
~dining{chumba cha kulia chakula}
~jiko
~stoo
~choo cha kushea
~baraza ya mbele na ya jiko
~Ukubwa wa Ramani ni...
Habari Wakuu..
Kama ambavyo kichwa cha habari kinajieleza, ninauza mashudu ya alizeti na mashudu ya pamba kwa wingi zaidi. Kwa anayehitaji awasiliane na mimi kupitia email; naswily@outlook.com...
Habarini wana JF, kuna mashudu ya alizeti yanauzwa takriban kilograms 40,000 kwa wenye uhitaji location yapo Dodoma, bei maelewano.
Mawasiliano: 0768782648
Ina uwezo mkubwa wa kuprinti black and white, A4 na A3, dual printing, photocopy machine with good quality of image.
Bei ni milioni 1.2 maongezi yapo na punguzo lipo.
Nyumba Inauzwa Nzega.Bei-35m
Ina Vyumba 2 (Kimoja Master), Sebure,Jiko,store ndogo.Ina Umeme na Maji ya Mamlaka ya Nzega (Nzuwasa).Pia kuna Kisima cha Kuhifadhi Maji ya Mvua cha Lita 15,000.Uwanja...
Kampuni yetu ipo Arusha tunatengeneza vifuatavyo kwa ubora wajuu :-
Tunatengeneza Website kwa biashara za aina zote
Tunatengeneza mabango, tunaweka stika za magari,
Tunatengeneza business...
Njoo nikupe nikuuzie laptop ya kusomea kwa binti yako au wewe mwenyewe.
B Hp Probook X360 11 G2 EE
*Processor:- Intel Core i5-7Y54 CPU @1.20GHz 1.61 GHz
*Ram :- 8 GB
*Storage:- 256 GB...
Nyumba inauzwa kimara Temboni. Bei milioni 30 tu.
Vyumba vitatu kimoja master
Sebule jiko na choo cha public.
Ukubwa wa eneo mita 20 kwa 20
Ukishainunua una malizia kufanya finishing tu
Ina...
Nyumba inauzwa mbezi kibanda cha mkaa
Nyumba ina vyumba vitatu,kimoja self
Ina sitting& dinning room
Ina kitchen na Public toilet
Nyumba imeisha bado kufanya finishing
tu kama utakavyohitaji wewe...
Nakodisha Frame 3 za biashara Katoro-Geita.Zipo Barabara ya CCM (Mkabala na Kituo Cha Afya Katoro),zinatazamq Rami.Ukubwa:Mbili zina Ujazo wa Meta za Mraba 26.5 na Moja ina Ujazo wa meta za Mraba...
Ninahitaji satellite dish ila liwe na brand name tofauti na DSTV, AZAM, ZUKU AU STAR TIMES.
Yani nahitaji liwe la matumizi ya zile FTA Channels.
Kama mtu analo jipya au lililotumika ila lipo...
Tunapenda kukutaarifu ya kuwa zile mashine za kupukuchulia mahindi tayari zimeshafika ofisini kwetu.
(Maize sheller machine)
✓Inauwezo wa kupukuchua (GUNIA 25 KWA SAA)
✓Inapukuchua magunzi saize...
⚠️⚠️Je unatafuta vifaa vifuatavyo kwa ajili ya Laptop,Desktop,Tablet au Simu Yako?⚠️⚠️📌📌
☑️Laptop Adapter ( Laptop & Macbook)
☑️Ram ya Laptop na Desktop ( DDR2,DDR3,DDR4 & DDR5)
☑️Laptop &...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.