Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Eneo lipo Mkuranga mjini-Jirani na kituo cha Mafuta cha Panoni, kama mita 600 kutoka barabara ya lami. Panafaa kwa kuweka makazi. Panafika kwa gari, umeme na maji ya Dawasco vipo mita chache...
2 Reactions
1 Replies
400 Views
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 TSHIRT MPYA KUTOKA CHINA ZINAUZWA KWA BEI YA JUMLA ZIPO SIZE MBALIMBALI KUANZIA PIECE 100 Tsh 3,400 UKIWA NA Tsh 340,000 UNAPATA BANDO LA TSHIRTS. UKIHITAJI PIECE ZAIDI YA 1000...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu, hoping mko salama. Nahitaji simu second hand, isiwe ya wizi, ikiwa na receipt au used toka nje itakua vema zaidi. Iwe miongoni mwa brands tajwa hapo juu. Specs 1. Resolution iwe na...
1 Reactions
2 Replies
443 Views
wazee wa kuchomelea vyuma vizito, vigumu mashine hio hapo inafanya kazi vizuri sana. niko mwanza igoma bei elekezi ni Milioni moja Tsh. Tuwasiliane Whatsapp +255772225555
0 Reactions
12 Replies
745 Views
Wakuu nani anaweza kunisababishia nikajua bei ya betri hizi. Na nazitolea wapi kabla sijaingia mzigoni mwenyewe huko kariakoo. Nb: niko mbagala muda huu
1 Reactions
2 Replies
430 Views
Karibu ujipatie Simu aina ya Vivo :Y85 Storage :Gb64 Ram:4Gb Display:6.26inches Price: 120000 Huawei : Y7 Ram:4Gb Storage :128Gb Display:6.26inches Price :145000 Oppo: F11 Ram :8Gb...
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Kiwanja ni tambarare Ukubwa wa kiwanja ni square meter 1045 Mawasiliano for serious buyer 0692450861 Umbali toka Feri ni km 19 Price - 12,000,000/= Negotiable.
1 Reactions
6 Replies
553 Views
Kazi ya haraka kesho tarehe 24. Printer inajam kila baada ya kuprint page chache. Aina ni Hp Canon 404. Location. Dar es salaam ubongo. Please DM me with your quotation
0 Reactions
1 Replies
369 Views
Nauza Printer 🖨 ya Epson L850 Ina kila kitu chake, ni mpya sijawahi itumia Tsh 900,000 All in one printer Print,copy,scan Six color eco-tank Colored printer Quality 💯 Napatikana Dar, Mbweni...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari za leo wakuu, Natafuta gari dogo, binafsi, isiwe zaidi ya cc1400, kukodisha kwa mizunguko ya Dar es salaam weekend hii. Dereva ni mimi mwenyewe. mwenye nayo nicheck whatsapp 0688180839.
1 Reactions
3 Replies
516 Views
Call / WhatsApp 0652565597 / 0687391033 📌 Sony HD Projector 📌Screen Display 100+ Inches 📌Lamp Hours 10000 📌lumens 3000 ( Inaonesha Hata Mchana ) Inafaa Kwenye Mikutano, Kufundishia Na Kuoneshea...
0 Reactions
0 Replies
508 Views
Kwa mahitaji ya haraka ya Chumba/ Nyumba ya kupanga maeneo ya Pugu/Kigogo fresh na maeneo ya Kinondoni wasiliana na 0785825442
2 Reactions
2 Replies
642 Views
Je, unahitaji kuandikiwa 1. Research Ikiwemo proposal, data collection, data entry, result 2. Business plan proposal 3. Curriculum vitae (CV) Basi usipate shaka nicheki kupitia e-mail...
0 Reactions
0 Replies
255 Views
Sisi ni wakala wa Bima tupo Dar es Salaaam, Kinondoni, tunahitaji vijana wa kike/kiume, wenye elimu ya bima ngazi ya cheti/Diploma Kwa ajili ya KUUZA bidhaa za bima, ni kazi ya mauzo/masoko kama...
1 Reactions
3 Replies
520 Views
Graphic Card Nvidia RTX 2060 Super 8gb Nauza Tsh 600000/= laki sita inacheza games zote wakuu niwewe tuu na wale watu wa 3d hii ni fursa kwako chukua piga kazi kwa uhakika 0657977457 📍Dar es Salaam
1 Reactions
0 Replies
391 Views
CHAHWA, CHAMWINO IKULU, DODOMA Eneo la kiuwekezaji, linakaribia ekari moja. Ni 4350 sqm. Limepimwa tayari. Hapa unanunua then unagawa viwanja unaanza kutengeneza faida kemkem. Ni nyuma ya Ikulu...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Habari za leo wakuu, Natafuta gari dogo, binafsi, isiwe zaidi ya cc1400, kukodisha kwa mizunguko ya Dar es salaam wiki hii. Dereva ni mimi mwenyewe. mwenye nayo nicheck whatsapp 0688180839.
1 Reactions
2 Replies
465 Views
Habari wana jukwaaa kama kichwa cha habari kilivoanza hapo juu nauza printer yangu nilokuwa na malengo ya kufanyia kazi ila kutokana na mambo kwenda vile nilivyopanga nimeona bora mali yangu...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Mdau , leo nakutupia hii apa Wewe unapenda mziki mkubwa? Chukua hili dudeee Hutojutiaaa Swipe kulia kuona video 👉🏽 JBL boom box 2 - 1,200,000/= JBL party box 310 - 1,650,000/=...
3 Reactions
5 Replies
752 Views
Habarini Wandugu. Naomba kusaidiana kupeana taarifa juu ya nyumba au vyumba vya kupanga kwa jiji la Dar es salaam. Kuna nyumba itakuwa wazi kuanzia January 10 yenye: - Vyumba 2 kimoja master -...
7 Reactions
70 Replies
16K Views
Back
Top Bottom