Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kina ukubwa wa mita 18 kwa 14 kipo karibu na barabara
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauza gari ndogo aina ya Nadia 5mln, gari IPO kwenye good condition ila nimeshindwa kuupload picha take kwa anae hitaji anipm mamba take nitumie kwa whatsap
0 Reactions
11 Replies
2K Views
habari wakuu!.. Mwenye moja kati ya hizo simu hapo juu naomba aniambie ni shiling ngapi?..au mwenye kujua ni wap nitapata kwa bei nafuu dsm naomba pia aniambie.. Nawasilisha!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za kazi, Nipo Mwanza bado mgeni, nahitaji laptop aina ya HP iwe na 1. Window 8 2. Processor--2.16GHZ(intercelon) 3. Ram-4GB 5. Hard disk-500GB 6. Iwe na warranty software...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Model: P1000 Galaxy Tab Brand: SAMSUNG IMEI: TAC: 357453 FAC: 04 SNR: 562562 CD: 1...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Habari wana JF, Nataka kuuza CD, DVD za tamthiia za Kikorea na Bongo Movie pamoja na Empty DVD. Hivi vitu vyote nahitaji ktk office yangu vya kuuza kwa watu wa bushi kwangu . Asanteni
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Viwanja Vipo 4, kila kimoja kina ukubwa wa 20M*20M.Viwanja vyote vipo sehemu moja (uwanja umekatwa). bei ya kiwanja kimoja yaani 20M*20M ni milioni7. Document: serikali ya mtaa paper Barabara ipo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nauza plots (surveyed but no title deed) mbili zilizopo Visiga - Kibaha: Market price: 6,000 Tshs/sqm Selling price: 4,500 Tshs/sqm Plot no 1 (960 sqm): Market price: 5,760,000 Tshs...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa,mie ni kijana mwenye ujuzi wa ufundi wa umeme wa majumbani,kwa wale wenye uhitaji wa kuwekewa Wiring ya Umeme au kurekebishiwa wiring zenye hitilafu/shoti kwenye ofisi au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta kati ya magari haya. Carina Ti au si au premio au Corolla 110.ZOTE MANUAL. Niko Dar.
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Kiwanja kinauzwa kipi Majohe kata ya chanika,hekta 0.5,bei mil 20 pia maelewano ya bei yapo. Kiwanja hiki kimepimwa kipo Majohe Bwera kituoni,urefu miguu 50 upana miguu 22. Namba ya simu 0712138303
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna htc one xv brand new with full full accessories Bei yake ni 300k Maelewano yapo Pia kuna Htc one v used for two weeks Accessories zipo Bei yake ni 120k Maelewano yapo pia Napatikana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina meza ya vioo-aluminum nilokuwa naitumia dukani kwangu. Ni kubwa (urefu mita 1, upana cm 40 na height mita 1.2). Iko imara na haina tatizo lolote, bei 350,000/=. Niko Kinondoni, Vijana/Studio...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wanajamvi. ninasambaza dagaa wasafi waliokaangwa kutoka mwanza kwenda mikoani kama shinyanga, singida, dodoma, morogoro na dar pia. Dagaa hawa nimewaweka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimepata ugeni nahitaji kitanda cha 5x6, bajeti yangu ni 150,000 Tshs. Mawasiliano 0789 254898. Karibu.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Inbox for further discussions
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kuanzia ipad,iphone, pamoja na ipod touch version zote, If your intersted nichek inbox
0 Reactions
1 Replies
908 Views
- 2005 Scania R420 - 6x2 Rear Lift (Tag Axle) - Opticruise gearbox with clutch pedal (able to convert it to a manual WITHOUT changing the gearbox) - Retarder - Cruise Control - AC - One owner from...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
A modern house on a two acre plot of land is up for sale at Kongowe along Morogoro road in Pwani region. It has two bedrooms, two bathrooms, an underground water reservoir and a water tank...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nissan pAtrol milango mitano,lipo kwenye hali nzuri tuu.Mil 7, 0715378899
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…