Nahitaji computer laptop- Hp nipo Mwanza

faabroz

JF-Expert Member
May 26, 2009
286
225
Habari za kazi,

Nipo Mwanza bado mgeni, nahitaji laptop aina ya HP iwe na

1. Window 8

2. Processor--2.16GHZ(intercelon)

3. Ram-4GB

5. Hard disk-500GB

6. Iwe na warranty software na hardware.

7. Iwe mpyaa kabisa na boks lake sio used.

Ni PM tuwasiliane zaidi.
 
Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
8,189
2,000
asante mkuu, ngoja niende hukoo

Umejaribu kupita madukani umekosa? Nenda barabara ya posta karibu na mgahawa Wa kuleana kuna duka la kompyuta linaitwa IDEAL COMPUTER, ukikosa hapo tokea kwenye uchochoro Wa kuingia nyerere road ukiwa unatoka hapo Ideal kuna duka linaitwa The net!
 
faabroz

JF-Expert Member
May 26, 2009
286
225
Umejaribu kupita madukani umekosa? Nenda barabara ya posta karibu na mgahawa Wa kuleana kuna duka la kompyuta linaitwa IDEAL COMPUTER, ukikosa hapo tokea kwenye uchochoro Wa kuingia nyerere road ukiwa unatoka hapo Ideal kuna duka linaitwa The net!

ahsante mkuu, Leo nilikuwa na kinana mweeee huu utumishi hata kama ukawa unakuwa na MCC na kukataa huwezi, nitaenda
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom