Inapatikana wapi?Nauza gari ndogo aina ya Nadia 5mln, gari IPO kwenye good condition ila nimeshindwa kuupload picha take kwa anae hitaji anipm mamba take nitumie kwa whatsap
Ipo dar
Nimejitahidi kuweka picha nimeshindwa nitumie namba Yako pm nikutumie picha kwa whatsaap