Nahitaji simu mpya BB Z10 au BB Z30 au Lenovo P780

Nahitaji simu mpya BB Z10 au BB Z30 au Lenovo P780

TanduDume

Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
25
Reaction score
3
habari wakuu!..

Mwenye moja kati ya hizo simu hapo juu naomba aniambie ni shiling ngapi?..au mwenye kujua ni wap nitapata kwa bei nafuu dsm naomba pia aniambie..

Nawasilisha!
 
Nimewahi kuwa nazo zote yan z10 na z30.....z 10 ilizima gafla nimepeleka kwa fundi haijapona na z30 nilimuuzia mwanajesh flan nayo ilianza kustak sasa imezima kabisaaa. Naziogopa sana
 
Nimewahi kuwa nazo zote yan z10 na z30.....z 10 ilizima gafla nimepeleka kwa fundi haijapona na z30 nilimuuzia mwanajesh flan nayo ilianza kustak sasa imezima kabisaaa. Naziogopa sana

mkuu cm nying ziko hivyo sema hapo ulitakiwa ujue kwann imezima ghafla
 
Nataka nikupe ushauri !!

Usinunue simu ambazo hazina customer care Tanzania au spea za hizo simu hazipatikani Tanzania !!!

Mfano ; tuseme umenunua moja kati ya blackberry na Lenovo na moja ya hizo imezingua charging syatem , utatengeneza wapi ??
 
Back
Top Bottom