House for sale

House for sale

SOGHOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
1,268
Reaction score
568
A modern house on a two acre plot of land is up for sale at Kongowe along Morogoro road in Pwani region.
It has two bedrooms, two bathrooms, an underground water reservoir and a water tank platform.

The extra area can be used for several types of businesses since the house is situated on the Kongowe- Soga main road.
Suitable for brick making business, animal husbandry, erection of several shop frames etc.

0717107275 serious buyers only
 
Umetoa maaandishi mengi yasiyo na msaada kwa mnunuaji, nilitarajia kuona bei, picha, maelezo ya msingi kuhusu umiliki wa hizo heka 2, hebu imarisha hilo tangazo mkuu
 
Mkuu tatizo la hapa kubwa ni wafanyabiashara wababaishaji. Wanauza bidhaa zisizoonekana na zisizo na maelezo ya kutosha.
Usipoangalia utakutana na makanjanja mengi sana humu.
Tunapiga kelele daily kuhusu ishu hiyo hiyo
 
A modern house on a two acre plot of land is up for sale at Kongowe along Morogoro road in Pwani region.
It has two bedrooms, two bathrooms, an underground water reservoir and a water tank platform.

The extra area can be used for several types of businesses since the house is situated on the Kongowe- Soga main road.
Suitable for brick making business, animal husbandry, erection of several shop frames etc.

0717107275 serious buyers only

Mzungu gani atakuja kukaa huko,hembu andika kiswahili.
Au ndio unataka uje na Mibei mikubwa kufidia shule yako
 
Ingekua Magomeni au Buguruni au Mburahati mpaka kigogo ningeandika kiswahili.
Pole kwa kukukwaza lakini najua umenielewa, tatizo niliposti kwenye web ya kiingereza ss badala ya kutafsiri nilipoandika hapa, nilipesti tu.
Bei yake ni ndogo sana hata wewe kaka spices unaimudu. Nitumie email PM nikutumie picha. Jinunulie country villa ili weekend unakwenda na shemeji kujiliwaza baada ya makelele mengi ya hapo dukani kwako mtaa wa Lindi
 
Umetoa maaandishi mengi yasiyo na msaada kwa mnunuaji, nilitarajia kuona bei, picha, maelezo ya msingi kuhusu umiliki wa hizo heka 2, hebu imarisha hilo tangazo mkuu

Kaka Bovu ninajaribu kuweka picha hapa lakini inasumbua sana, kama kuna jinsi rahisi nifahamishe.

Bei ni sh 65m pungufu unaongea
 
WAdau bei ni 65 m pungufu unaongea. Najitahidi kuleta picha
 
10308609_646948842072259_5066108789094260450_n.jpg
 
Ingekua Magomeni au Buguruni au Mburahati mpaka kigogo ningeandika kiswahili.
Pole kwa kukukwaza lakini najua umenielewa, tatizo niliposti kwenye web ya kiingereza ss badala ya kutafsiri nilipoandika hapa, nilipesti tu.
Bei yake ni ndogo sana hata wewe kaka spices unaimudu. Nitumie email PM nikutumie picha. Jinunulie country villa ili weekend unakwenda na shemeji kujiliwaza baada ya makelele mengi ya hapo dukani kwako mtaa wa Lindi
Hahahaha,Asante Kaka
 
Z.spices huo ni upande mmoja wa nyumba yenyewe hapo juu.

Mtandao wa Airtel unasumbua sana leo. more photos to come.
 
Ingekua Magomeni au Buguruni au Mburahati mpaka kigogo ningeandika kiswahili.
Pole kwa kukukwaza lakini najua umenielewa, tatizo niliposti kwenye web ya kiingereza ss badala ya kutafsiri nilipoandika hapa, nilipesti tu.
Bei yake ni ndogo sana hata wewe kaka spices unaimudu. Nitumie email PM nikutumie picha. Jinunulie country villa ili weekend unakwenda na shemeji kujiliwaza baada ya makelele mengi ya hapo dukani kwako mtaa wa Lindi

Nilivutiwa na hili tangazo lakini mdau mbona umechemsha na mijazba yako?Wauzaji wenzio wana kauli nzuri hata wanaojua kiingeleza wanapenda pia kuishi Magomeni Buguruni hata Kigogo kwa kina dada Faiza...
 
Chumchang,,,, Kwanza wewe ni mchina ungenunua hii nyumba ungeweza kukaa na wenzio wachina hata kumi.
itizame vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom