Kiwanja kinauzwa Mivumoni

Kiwanja kinauzwa Mivumoni

Joined
Jun 26, 2015
Posts
56
Reaction score
21
Viwanja Vipo 4, kila kimoja kina ukubwa wa 20M*20M.Viwanja vyote vipo sehemu moja (uwanja umekatwa).
bei ya kiwanja kimoja yaani 20M*20M ni milioni7.
Document: serikali ya mtaa paper
Barabara ipo, Umbali toka barabara kubwa hadi kwenye kiwanja ni mita 100.
Umeme upo jirani na kiwanja.
direction Mbuyuni--Salasala--Mivumoni

Call: 0752953860

gh.jpg

 
Ndorooobooo wewe 20*20 ni milioni 7 tena hakijapimwa ,Mie ntakupa 2m.
 
Wazungu wanasema ''No research no right to speak'' Kiongozi siku nyingine fanya kwanza utafiti alafu ndiyo ufungue domo lako usilolipia kodi..:A S wink:
Kwahiyo Milioni2 yako labda ukanunue bagamoyo lasivyo hapa jijini utauziwa bwawa la samaki kama sio kichuguu....
 
Back
Top Bottom