Kwa wadau waliopo Mtwara ninauza mashine 2 za kuoshea magari zinazotumia petrol, zimefanya kazi kwa miezi mitatu 3, kwa anayehitaji anipigie 0787 092 186. Bei ni 600,000/= kwa mashine moja.
Tunabuni na kuchora ramani aina zote yani kwa nyumba za kawaida na maghorofa...
Michoro inakuwa na set of architectural drawing na technical drawing...pia na 3D view..
gharama zetu ni nafuu...
Habari wadau wa JF. Kwa wadau mlioko pande za Iringa mjini, Chumba kinapangishwa maeneo ya semtema duka la mchele. Kodi kwa mwezi ni elfu thelathini (30). Choo ni cha nje, maji yanapatikana...
Je una nyama uzembe iwe tumboni, mikononi, miguuni n.k, je nguo yoyote unayovaa haikutoshi sababu ya nyama uzemebe?? Unapenda kuziondoa mwilini mwako?? Tutafute nasi tukupemaelekezo zaidi...
Natangaza nafasi za hostel kwa wanafunzi wanao hitaji . Hostel ipo mwenge kituo mpakani inapakana na oil com. Bei 75,000 kwa mwezi Kwa Kitanda . Wasiliana nami 0752 886866
Nyumba ina vyumba 3 sebule, choo na bafu, maji umeme mazingira mazuri ipo Moshi kibosho mweka karibu na chuo cha wanyama pori na ipo pembeni mwa barabara iendayo mlimani Kilimanjaro usafiri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.