Kwa wadau waliopo Mtwara ninauza mashine 2 za kuoshea magari zinazotumia petrol, zimefanya kazi kwa miezi mitatu 3, kwa anayehitaji anipigie 0787 092 186. Bei ni 600,000/= kwa mashine moja.
Hebu tuambizane vizuri kuhusu hii biashara, hapa nilipo hakuna mashine hata moja watu wanaoshea ndoo na mikono tu, mashine hii inauwezo wa kuvuta maji toka tank la chini? vipi inatumia umeme au zipo na za mafuta? kuna anaeweza kutuwdkea mchanganuo wa vifaa vinavyotumika ktk biashara hii atusaidie,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.