Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Sasa unaweza kulipia vifurushi kupitia #tenbre pia unaweza kupata ratiba za vipindi, kuangalia salio na kubadilisha kifurushi popote ulipo kupitia simu yako ya mkononi na tovuti yako. Download...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Shamba linauzwa Chanika mwanzomgumu DSM lina ukubwa wa hekari nne kila ekari ni tsh 1,300,000 maelewano pia yapo gari inafika mpaka shambani na pia shamba linafaa kwa makazi pia. Kwa mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Kwa anyehitaji kiwanja cha ukubwa wa sq mita 600 kina offer katika plan y manuspaa.umeme na Maji vipo. Bei sh. 9,000,000/ .nipigie 0715500248,0756171831.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF! Kutokana na ugumu wa kupata ajira kwa muda mrefu, nimepata mtaji kidogo na kufanya maamuzi ya kujiajiri kwa kupika vyakula na kuuza kwenye maofisi maeneo yote ya Arusha mjini...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
An almost new fully furnished four bed room house (one master bed room), store, kitchen, spacious sitting room and a common toilet and bathroom is available for rent at Gangilonga prime area in...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauza htc1 X mpya na accesories zake kwa sh 350,000/= Ni nyeupe ikiwa na internal 10GB Wasiliana nami #0718033066
0 Reactions
9 Replies
2K Views
LAPTOP USED INAUZWA Aina: Acer Aspire Specification: HDD: 320 GB RAM: 4GB PROCESSOR: 2.53 GHZ BATTERY LIFER: 1 HOUR Price: 450, 000 Tshs. For more info: piga 0714 241 547 / 0754 200 387
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu bado natafuta Kiwanja goba, budget in 3M. Tafadhali mwenye nacho anipm tufanye biashara.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Natafuta miche ya strawberry niko dar es salaam
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Madalali ambao mpo arusha ninauza kiwanja Chenye Nyumba mbili za tope kipo Kisongo centre karibu kabisa na soko Mita kama 200 kutoka Barabara kuu ya Babati Arusha ukubwa ni 20*20 bei mil.10...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza ipad na Tablet bei na mawasiliano Product za RSA. Mawasiliano: 0717169024
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Tecno L6 for sale ts only 215,000 tzs. 0654715457
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Wadau, Nauza kiwanja changu maeneo tajwa hapo juu, bei rahisi ya shilingi milioni 7.5, ukubwa wa kiwanja ni sqm 800(20*40) maeneo yamejengeka sana. Umeme na maji vipo. Karibuni sana 0763364459
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Peter Msigwa live chaneli ten, mada ni kuhusu changamoto kuhusu bunge la kumi. Mbunge Peter Msigwa akiwa anahojiwa ndani ya kipindi cha Madamoto Channel 10 leo tarehe 8. july 2015, saa 4.30...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
nahitaji Laptop ya kununua Toshiba/Hp yenye atleast Ram 2GB, processor 2.6, ni pm kama unauza
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wote wanajamvi, Kwa heshima na taadhima nachukua fursa hii kuwaalika watu wote mliofanikiwa kufungua thread hii kuhudhuria mkutano mkubwa wa fursa ya biashara ya karne ya 21, ili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, Napenda kufahamu bei za viwanja katika miji ya Mwanza na Shinyanga kwa ajili ya makazi.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu Nahitaji fundi wa kutengeneza printers aina ya Tally - hasa hasa T2280+ na T2265+ Waweza ku-PM au tuma text/piga simu nambari +255766140044 Natanguliza Shukrani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
chumba kinapangishwa ubungo external. kuna umeme na maji dawasco na kisima maji chumvi ndani. kodi 70,000 kwa mwezi.. miezi 6 mhusika namba 0658 000106
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wachumi, Gari tajwa hapo juu zinapatikana kwa wingi katika Kampuni ya uuzaji wa Magari Ijurikanayo Kama KK.AUTOWORLD yenye makao yake makuu nchin Japany Jijini Nagoya. Pia tuna matawi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom