Wakuu nahitaji printa kwa ajili ya ofisi yangu..napenda iwe na angalau spcs zifuatazo:
1. Speed angalau 50ppm
2. All-in-one yaani scanning,printing and copying
Nimejaribu kuchek online kwenye...
Viko Mbezi mpiji magoe,
Vina ukubwa kuanzia mita 20*20 tsh million 3.5 tu.,
Bei inaongezeka kulingana na ukubwa.
Vyote vinafikika kwa barabara nzuri.
Umeme upo, maji yapo.
Kwa taarifa zaidi...
Imetumika miezi miwili tu kwaiyo bado mpyaaaa!!
Internal memory 16GB
camera ya mbele na nyuma nk.
Bei tsh 180,000/=Tu
WhatsApp au text 0713943432
npo dar
Habari...
Je! unahitaji samaki kwa bei ya jumla? kama jibu lako ni ndio weka oda yako sasa ili upate samaki wa aina ya perege. Oda hii ni kwa walioko Arusha tu. Unaweza kuniPM nikupatie...
nauza Nokia x inayo support android apps.. bei ni 180,000/ iko sawa kila kitu na haina tatizo lolote.
Exchange offer pia kwa mtu mwenye s3, s4 note 1 au 2 ntamuongeza na hela kidogo kutokana na...
Ndiyo wakuu! Habari za kwenu! Natambua uwepo wenu wakuu na heshina kwenu. Naomba niwape habari njema! SHAMBA KUBWA ZURI LINAUZWA. LIPO NDANI YA MANISPAA YA MOROGORO.ENEOB BIGWA. Maji mengi...
Nataka kuchimba kisima cha maji kwa matumizi binafsi wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, mwenyekujua kampuni au watu wanaojishughulisha na kazi hizo mkoani Mbeya.
Naomba mnijuze
Shukrani
Wadau nimedunduliza vijisent vyangu sasa vimefikia milion 7. nataka kununua kagari kadogo kwa ajili ya mihangaiko yangu ya mjini. Je naweza kupata gari lolote dogo kwenye Yard za dar kwa pesa...
Napenda kuwaarifu kwamba kitabu cha mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri kinauzwa. Kwa wale wanaohitaji wanaweza kukinunua kwa bei ya Sh. 6,000 tu.
Kitabu hicho kimetungwa na...
Viwanja vizuri sana Viko Goba-Tegeta 'A' vinauzwa ukubwa kuanzia
Mita 22*23 Bei million 5 inaongezeka kulingana na ukubwa.
Vyote vinafikika kwa barabara, umeme upo, maji yapo.
Kwa taarifa zaidi...
Shamba linauzwa morogoro dakawa m 400 toka barabara kuu iendayo dodoma.lina n'gombe 180 wa maziwa .mbuzi na kondoo 170.nyumba moja umeme upo hadi shambani.bei ml 800.vinauzwa pamoja vyote lina...
Kunashamba linauzwa maeneo ya Morogoro njia ya kuelekea Dodoma baada ya mizani ya kihonda.
Shamba lipo mita chache baadabya reserve ya barabara ya Moro to Dodoma.Eneo ambapo shamba linapatikana ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.