lellobazcci
Member
- Jun 12, 2015
- 52
- 3
Nauza htc1 X mpya na accesories zake kwa sh 350,000/=
Ni nyeupe ikiwa na internal 10GB
Wasiliana nami #0718033066
Ni nyeupe ikiwa na internal 10GB
Wasiliana nami #0718033066
Hivi bado zinatengenezwa hizi?Simu tajwa apo juu unaweza pata kwa 340k.....ni mpya kabisa wasiliana nami#0718033066
Tatizo za hizo simu ni spear zake hazipatikani, me nilikua na htc moja hv nikapoteza ule mfuniko wa nyuma wa netwk kila fundi ananiambia hawezi pata uo mfuniko mpaka leo cm nimepark ndani
Isee tufanye biashara kama ni htc one x