Peter Msigwa on Channel 10 na changamoto za Bunge la kumi

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Peter Msigwa live chaneli ten, mada ni kuhusu changamoto kuhusu bunge la kumi.

Mbunge Peter Msigwa akiwa anahojiwa ndani ya kipindi cha Madamoto Channel 10 leo tarehe 8. july 2015, saa 4.30 usiku, katika maoni yake kuwa Bunge linayumba kwa kuwa Spika Makinda kashindwa kubadilika na kuonesha udhaifu kwa kushindwa kwenda na Kasi na wakati. kawa ndani ya bunge tangu mwaka 1975 hata CCM ilikuwa haijafikiliwa kuzaliwa. CCM imezaliwa mwaka 1977.
 
Toyota ,starlet kwa 6 mil kwa mawasiliano whatsapp wasiliana nami kwa simu no +255764361843
 
Attachments

  • 1436383369549.jpg
    1436383369549.jpg
    69.1 KB · Views: 227
Toyota paso inaiuzwa

imetembea km 131

bei ni mil 6.8
 
Attachments

  • 1436383537142.jpg
    1436383537142.jpg
    91.8 KB · Views: 323
Km 131?alafu ni namba C kwa kweli mkuu wewe fundi unajua kutunza machuma.
 
Mbunge Peter Msigwa akiwa anahojiwa ndani ya kipindi cha Madamoto Channel 10 leo tarehe 8. july 2015, saa 4.30 usiku, katika maoni yake kuwa Bunge linayumba kwa kuwa Spika Makinda kashindwa kubadilika na kuonesha udhaifu kwa kushindwa kwenda na Kasi na wakati. kawa ndani ya bunge tangu mwaka 1975 hata CCM ilikuwa haijafikiliwa kuzaliwa. CCM imezaliwa mwaka 1977.
 
Toyota paso inauzwa

imetembea km 161

haina tatizo lolote

bei ni mil 6.8

Contact Whatsapp 0764361843
 
Toyota paso inauzwa

imetembea km 161

haina tatizo lolote

bei ni mil 6.8

Contact Whatsapp 0764361843
 
Bavicha Msigwa ndio nani. Kwani yy kawa mchungaji feki kuanzia lini? Hakusema kuwa kukimbia kimbia wameonyesha utoto nakama anajua kilichomkimbiza au kafata Tundu basi. Kwa sababu naamini Tundu angesema hatutoki wangebaki, hawajitambui
 
Sasa Makinda toka 1975 moaka leo mnategemea nini?
Bado anadhani yupo TANU
 
Back
Top Bottom