Wachimba visima vya maji Mbeya

Wachimba visima vya maji Mbeya

Jongwe

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2008
Posts
1,040
Reaction score
666
Nataka kuchimba kisima cha maji kwa matumizi binafsi wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, mwenyekujua kampuni au watu wanaojishughulisha na kazi hizo mkoani Mbeya.

Naomba mnijuze

Shukrani
 
Unataka kisima cha kidril au cha kuchimba kwa mkono?
 
Kipaumbele ni kisima cha kudril, isipokuwa kama sitopata hao watalaam wa kutoboa itabidi niangukie kwenye kuchimba kienyeji
 
Nataka kuchimba kisima cha maji kwa matumizi binafsi wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, mwenyekujua kampuni au watu wanaojishughulisha na kazi hizo mkoani Mbeya.

Naomba mnijuze

Shukrani

mkuu rugwe sehemu gani exactly location inaweza kusaidia kujua kama unaweza kuchimbiwa au la.!!!!
 
Kitongoji kinaitwa Kiwira kiongozi. .
 
Back
Top Bottom