Kitanda kinauzwa bei chee

Kitanda kinauzwa bei chee

Tayo zeboss

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
467
Reaction score
196
Size ni 4 kwa 6 pia kilitumia miezi nane iliyopita so kipo katika hali nzuri.

Bei tsh 75000/= tu
WhatsApp 0713943432

nipo dar es salaam
 
Mzigo ndo huo pichani
 

Attachments

  • 1436256517393.jpg
    1436256517393.jpg
    52.1 KB · Views: 928
  • 1436256534948.jpg
    1436256534948.jpg
    49.6 KB · Views: 785
  • 1436256559308.jpg
    1436256559308.jpg
    58.2 KB · Views: 827
Umepigia mechi ngapi kwenye hicho kitanda?
Samahani lakini,just kujua tu kama chaga zake bado zipo imara au la!


Size ni 4 kwa 6 pia kilitumia miezi nane iliyopita so kipo katika hali nzuri.

Bei tsh 75000/= tu
WhatsApp 0713943432

nipo dar es salaam
 
Kitanda kimechoka mbaya. Ni cha kizamani sana. Kula buku tano!
 
napenda sana kitanda ha mbao ila sasa vitanda hivi unakuta duuh
anyways
wauzie watu wa seremala
wanakigeuza kinakua kipyaaa

Sasa dada yangu " Umeshaona wapi mtu anakosa alafu anakaa kujadili adhabu ya kupewa na mtoa adhabu?
 
Back
Top Bottom