MISSION GOOD HOPE TANZANIA 2025
Inawatangazia wahandisi wote waliohitimu na wanaotarajia kuhitimu katika fani mabalimbali za uhandisi kuwa tunajipanga kufanya ushindanishi wa matumizi ya ubunifu...
Wakuu natafuta chumba kimoja master...kiwe maeneo ya Tabata au Kinyerezi...Bei iwe kwenye range ya elfu 50 mpaka elfu 70 miezi 6..Isiwe mabondeni wala isiwe na masharti mengi mimi ni...
Kwa wakazi wa mbagala na maeneo ya jirani karibu mpate huduma ya barbershop, ni ya ukweli na ya kijanja sana kwa mbagala yote. Saluni ipo njia kuu ya kuelekea kongowe, ukitoka stand ya rangi 3 kwa...
MISSION GOOD HOPE TANZANIA 2025
Inawatangazia wahandisi wote waliohitimu na wanaotarajia kuhitimu katika fani mabalimbali za uhandisi kuwa tunajipanga kufanya ushindanishi wa matumizi ya ubunifu...
MISSION GOOD HOPE TANZANIA 2025
Inawatangazia wahandisi wote waliohitimu na wanaotarajia kuhitimu katika fani mabalimbali za uhandisi kuwa tunajipanga kufanya ushindanishi wa matumizi ya ubunifu...
Amani kwenu wakuu.
Natafuta wateja wanaonunua mbao kwa bei ya jumla. Nafanya utaratibu wa kutafuta kibali halali kutoka maliasili. Kuna uhakika wa mbao 2000 kupatikana kila baada ya wiki mbili. Ni...
Wakuu,
Salon ya standard ya kawaida iko complete na ipo sehemu nzuri. Imekuwa hapo kwa miaka mitatu hivyo ina wateja tayari. Mwenyewe ni wa mkoani, alikuwa anasoma chuo amemaliza anarudi mkoani...
Habari wana jamii forum.nawafikishia fursa ya nyumba kuuzwa kwa mnada wa adhara maeneo ya buza mtaa wa sigara dar es salam temeke,nyumba ya kawaida sana choo cha nje,vyumba upande mmoja...
Naomba wakuu mnishauri wapi naweza pata mbegu original nyanya nipo
Dar es Salaam ni aina ya tanya na rio grande nataka kulima Dodoma nyanya Mwez wa kumi
Nokia tajwa hapo juu inatakiwa iwe haina tatzo lolote,iwe haijatumika sana au haijatumika kabisa.
Iwe inakaa na chaji,isiwe na michubuko.
Mwenye kuwa nayo anicheki
Kwa anayehitaji laptop na projector jaman anicheck kwenye no yangu ya simu ambayo ni 0715-546818
Imebaki laptop moja na projector moja ambazo ni matata sana
Laptop ni dell latitude E5440, ram...