Nauza mikanda ya kupunguza ni ya mtumba.ndan ya wiki moja tumbo linaisha.kama ukiwa serious kuvaa muda wote.meusi nauza elfu 40 na meupe elfu 30.Naleta ulipo kwa walioko Dar.
Napatikana kwa namba...
Habari wana Jf
Nauza hiyo kitu
1.67ghz duo core processor
2gb ram
250gb hddd
webcam
ndani kuna software kali kama
the best hacking software- core impact pro best for screwing...
Nyumba nzuri ya kisasa iko Tegeta inauzwa, bei maelewano. Ina hati na uwanja mkubwa tayari kwa kuhamia. Piga 0674631109 kwa maongezi zaidi.
Nina shida kwa hiyo naomba serious buyer tu..
Wadau,
Nauza gari aina ya Lexus RX3.00 ya mwaka 2006. Gari hii ni Automatic na pia imetokea U.K, ina 'leather seat' na ni ya mwaka 2006. Haina tatizo lolote, KM zake ni 122,000. Bei yake ni Sh...
Kwa yeyote aliye na maono ya kuwekeza katika financial services kwa kutoa mikopo kwa watumishi wa Umma tu, tuwasiliane ili tuwekeze pamoja, usajili wa Exodus Financial services unaendelea hivi...
Nawasalimu nyote. mm nafanya biashara ya TIGO PESA NA M PESA. MWezi wa TISA nafunga hiyo biashara maana kila mtu ninayemweka asimamie ananiangusha. Mwenye uhitaji za hizo line tuwasiliane PM...
Hii ni habari ya mjini bwana pata Decoder ya...Qsat,SpeedHD...zenye uwezo wa kuona channel za mpira Move bila malipo ya mwezi yani buree...pia tunalekebisha aina zote za...
wanajamvi,kwa yeyote mwenye kuhitaji mashine ,za kisasa kutoka NJE ,tuwasiliane,zipo zenye ukubwa tofauti,kuanzia mayai 500,ni outomatic,huna haja ya kugeuza mayai .kila kitu kinafanyika...
Wadau,
Nahitaji pure sea salt isiyowekewa madini ya joto au chochote. Hii ni kwa mahitaji yangu ya kukaushia ngozi za wanyama. Ikipatikana kutoka Dar au Bagamoyo itakuwa safi.
Piga 0758434141...
Natafuta DVD Player yenye option ya USB as soon as possible.
Kama unayo nirushie picha hapa kabla hujani PM tufanye biashara.
As soon as possible ntashukuru.
Changamkeni
Nahitaji msaada wenu wa ushauri.
Nataka kwenda Entebbe (EBB) niko njia panda kati ya FastJest na RwandaAir. Kuna mdau ananiambia Fastjet hawako reliable wana cancell ndege mda wowote ingawa bei...