Nauza Lexus RX300

Nauza Lexus RX300

Butanyata

Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
51
Reaction score
37
Wadau,

Nauza gari aina ya Lexus RX3.00 ya mwaka 2006. Gari hii ni Automatic na pia imetokea U.K, ina 'leather seat' na ni ya mwaka 2006. Haina tatizo lolote, KM zake ni 122,000. Bei yake ni Sh 35M.

Kwa mawasiliano zaidi nicheki kwa 0686477879 au sirgerryk@yahoo.com. Najaribu ku-upload picha lakini zinagoma kwa sasa, nikifanikiwa nitaziweka humu.

Natanguliza shukrani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom