Natafuta scientic calculator fx-991 ya kununua

Natafuta scientic calculator fx-991 ya kununua

Jay92

Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
83
Reaction score
17
Kama kichwa cha thread kinavyosema.

Nahitaj calculator tajwa hapo juu.

Kama unayo nichek kwa 0765935449
 
Kama kichwa cha thread kinavyosema.... nahitaj calculator tajwa hapo juu.... kama unayo nichek kwa 0765935449
Kama una smartphone nzuri kwa nini usi download scientific calculator bureee bila senti kutoka Google Play au Apple Store?
 
Kama una smartphone nzuri kwa nini usi download scientific calculator bureee bila senti kutoka Google Play au Apple Store?

Smart phone kaka nnayo... but itafika stage ntahitaji kuingia kwenye mtihani..... siwezi kuingia na smartphone.... ntahitaji calculator ynyw kabisa
 
Uko wapi? nikupe ya kwangu buree. ila sharti ukimaliza kutumia urudishe
 
Mwenyewe nahitaji calculator original kwa ajili ya mdogo wangu

Humu ndani is kuna wafanyabiashara wa vifaa vya maofisini na mashuleni mbona hawachangamkii deal
 
Kwa maelezo haya uliyotoa unategemea kutakuwa na response ya maana kwel,sishangai kijana wa 4m 5 hawezi kuandika essay, uko wapi?, unataka namba 1 au 2, fx 991es ama ms??
 
Me ninayo TI-30X 11B nauza kwa 25 elfu tu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom