Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Gari aina ya Volkswagen touran 1.6FSI ya mwaka 2004 inauzwa. Ina km 120,000 cc1590 ni automatic inayotumia petrol. Ina milango 5 na siti 7 Iko kwenye hali nzuri ni namba c.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
nahitaji za timu nzima,kama unazo niambie bei tuone kama tunaweza fanya biashara
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa kwa yeyote anaye hitaji viwanja na mashamba ukanda wa bagamoyo tuwasiliane 0719 333 320 naingia kwenye mtandao marachache, hivyo maswali yatajibiwa kwa sms au piga simu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ina eneo la square mita 1000 ina vyumba 3 kimoja ni master,sitting room,dining,kitchen,public toilet price 130 million kama upo serious nichek 0716385824
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ina square mita 1000 ina vyumba 3 vya kulala kimoja ni master,sebule,dining public toilet price 220 million
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wakazi wa Tanga, shamba Heka 5, eneo ni Kwadizinga Shule, mbele ya michungwani. Bei ni nafuu! Mawasiliano ni; 0684 484438
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kwa anae faham hiyo asali inapouzwa naomba anijuze
0 Reactions
6 Replies
3K Views
kutana na mabingwa hodari wa LAPTOP kwa bei poa sana ....aina zote na property za kueleweka €kwa mawasliano zaid 0759321911
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Natafauta POS iwe fully i mean computer yake printer pamoja na bar code scanner. Mwenye nayo aniambie tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji body ya nyuma tu (pickup body) ya Nissan Safari bila ya cabin Kama unayo ni pm.
1 Reactions
0 Replies
802 Views
Rav4 Cc1998 Ya 2003 Manual Engine 1az Km 99027 Naomben radhi nimeshindwa kuweka picha ila kwa anae taka anichek kwa namba 0656436662 nitamtumia bei n 13m namba dc....asanten
0 Reactions
0 Replies
962 Views
HP Envy 15 q009tx... Core i5 4G processor 2.3ghz... ram 4gb and hdd 750gb... BackLight Keyboard... 6+hrs battery... 2gb nVidia GRAPHICS Memory... 15.6" LED Slim Display... Brand New PC ****...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nauza kiwanja mita 20x20 kipo madale kinondo mashariki hati miliki zote zipo na kiwanja kimepimwa kuna barabara na umeme umepita,mpaka saiz sijapata mteja alie na nia price 2 million napatikana...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
ipo maeneo ya tabata chang'ombe ina eneo kubwa na imezungushiwa fensi na geti,ina vyumba 4 vya kulala kimoja ni master,public toilet ipo safi,sitting room,dinning,kitchen,store bei ni 120 million...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za jioni wadau, Kuna viwanja viwili vyenye ukuwa wa 70×35(m). viwanja hivi viko morogoro mjini maeneo ya mkundi cct forest. Kwa anaehitaji ani PM Asante
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Natafuta body ya gari aina ya Starlet Remix au Reflect. Anayejua wapi naweza kupata naomba ni inbox tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale wanaofahamu bei ya mabati naomba mnifahamishe bei za mabati ya rangi migongo midogo na MBAO zenye dawa 2*4 futi 18,kama kuna mapungufu ktk tangazo langu pia kusahihishwa ruksa
0 Reactions
10 Replies
3K Views
heyooo nina laptop acer asspire 5349. hdd 320 gb, ram 2gb, prcessor 1.8ghz kwa 300000tsh ipo katika hali nzuri kila kitu chafanya kazi kazi n kwako
1 Reactions
0 Replies
829 Views
Nauza mini laptop hiyo... Ni ya samsung, uwezo wake... HARD DISK: 150 GB RAM: 1GB PROSESSOR: 1.33GHz Naombaa bei..?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom