Tutajie bei mkuu.
Sasa kumbe iko kwenye gazeti unataka kuwalangua wenzako. Mtu mwema ungelisema jamani kuna viwanja, tangazo hili soma wenyewe! Lakini asante maana sio wote wangelipata taarifaHabari za jioni wadau,
Kuna viwanja viwili vyenye ukuwa wa 70×35(m). viwanja hivi viko morogoro mjini maeneo ya mkundi cct forest.
Kwa anaehitaji ani PM
Asante