Ipad 3 inauzwa kwa bei poa.
Imetumika miezi 6 na ipo kwenye hali yake ya ubora ile ile.
Nakupata Gurantee ya miezi 6 ikisumbua niletee nitaitengeneza kwa gharama zangu.
Serious buyer only...
💥MASHAMBA YANAUZWA💥
Yapo Kibaha-Madafu
1.5km toka Morogoro Road
Umeme na Maji viko 0.5m toka mashamba yalipo...
Zipo heka 6 na zinauzwa kuanzia heka 1 kwenda juu na sio chini ya...
year 2001
mileage:139177 km
cc1340
Price:5.5 million
Serious Buyers SMS to 0753692148/0719215909,pia kuna alteza gitta ipo kwa bei nafuu imetoka japan ina mwezi tu hapa TZ
Brandnew Samsung galaxy s2 for sale
Original with full accessories (No Box)
4.3 Inches Screen size
Dual core 1.2GHz Processor
16GB Internal Storage ,1GB RAM
8MP Back Camera, 2MP Front Camera
1...
Brand new HTC one m7 for sale
Original, Boxed with full accessories
1.7 GHz quad-core processor
32GB Internal Storage and 2GB RAM
4.0MP Back Camera (ultra pixel technology ) and 2.1 MP Front...
Compuni ya BRIC_LIMITED yenye makao yake makuu dar na branch mbili mikoa miwili tofauti inatangaza nafasi moja ya kazi, meneja biashara mwenye shahada au stashahada ya biashsra , uhasibu au...
Salaam wana JF
Nauza Nyumba pichani.
Ipo Madale,Dar es Salaam.
Ukubwa wa Kiwanja ni Square Meter 1103.
Ian Hati. Bei maelewano
Karibuni kwa maelezo zaidi
0654 99 83 26
Je Umesumbuka kupata huduma za IT au vifaa vya IT?
It expert ni watalam wa maswala ya Computer na Wauzaji wa vifaa vyenyewe kama ifuatavyo:-
DATA REVOERY
LAPTOP REPAIR
LAPTOP MOTHER BOARD...
Viwanja vinauzwa (eka 2) wami dakawa (umbali wa kama 0.5km kutoka barabara kuu ya dar-mwanza) bei ni 450,000 (laki nne na nusu) kwa kila eka. Havina hati ila vinatambulika serikali ya kijiji.
Kwa...
Habari wadau wa Jamii Forum. Ningependa kufahamu duka linalouza materials yanayotumika kuandaa screen ya kuprint, material kama Mesh (Kitambaa wavu), Photo Imation, Sensitizer, Hadner na Rangi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.