Kwawamiliki washule wote kampun yetu imewaletea solution kusiana na maswala ya fedha kwa usimamizi wamaswala ya fedha popote hulipo kupata tarifa za malipo ya ada kupitia Simu yako ya mkonono na...
Ipo mtaa wa pili toka barabara ya Ali Hassani mwinyi inatazamana na uwanja wa Leaders Club , ina vyumba 2 vya kulala setting room , jiko store n.k, ina ziada ya tank ya kuhifadhi maji lita 5,000...
Wakuu,
Bado sijapata carry nzuri budget yangu ni mil 7 nashukuru, kuna mdau ame ni PM ila sijaweza kujibu kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nikiweza nitakupatia whatsapp tuwasiliaa...
Kwa mtazamo wa kawaida; Ni jeupe, linaangaza sana, ukichukua tochi ukimulika mwanga unarudi, hili ni jiwe moja ambalo kwa juu kuna vijiwe vingi sana ambavyo vina maumbo mengi, kwa mfano nyumba za...
Shamba linauzwa
Eneo Mwanzoni mwa wilaya ya Makete ukiwa umetokea Njombe mjini (Mkoa Njombe), Kijiji Mang'oto, ni kijiji cha kwanza tu ukianza wilaya ya Makete.
Umbali kutoka na barabarani- Km...
Nyumba nikubwa ina paking kubwa, garden nzuri, jiko kubwa,siting room kubwa, darning kubwa, master kubwa , ina vyumba 3 na kila chumba kina toilet yake chumba ipo Mikocheni.
Mawasiliano...
Ni ya mwaka 1998 inatumi petrol , ac ipo safi tv ndani, cd na tap ipo safi, ni namba c, imetembea km 109000.
Wasiliana kwa no 0719891518 au 0765019798 ninapatikana mikocheni karibuni sana.
Nauza home theatre aina ya LG kwa shilingi Lak 3 tu. Pia ipo sub woofer yenye spiker 5 pamoja na dvd yake nayo pia naiuza shilingi 250,000/= nia aina ya sea piano. Nichek 0713401812
Ni itel it1403 ipo ktk hali nzuri nzur sana, sababu imetumika miezi mitatu tu na cku kadhaa. Ina camera ya mbele pia na yanyuma bila kusahau flash light... Inakuja na power bank,cover na memory...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.