Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

PlayStation 3 used ipo katika condition nzuri sana na inafanya kazi bila matatizo,inauzwa pamoja na Game tatu na Controler moja ambayo ni Wireless. Bei yake ni 450,000 na ipo Uingereza hivi sasa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
WanaJF naomba msaada kujua bei ya gari Nissan Nivara hapa Bongo. Ni jambo la dharura sana. Tafadhali, nijuzeni.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Tunauza nguo za mtumba grade A. Jipatie nguo za kike magauni, sket ndefu na fupi,blouse kwa bei ya punguzo la nusu bei utanunua mpaka kwa sh. 5000 nguo. Duka lipo Mwenge-Mpakani. Kwa mawasiliano...
0 Reactions
15 Replies
10K Views
Habari za kazi ndugu zangu, Ninatafuta Taa ya Toyota duet Upande wa kushoto.Nipo Sumbawanga. Seriously Seller can chek on me via 0716134171 au 0764812912 Asanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imetumika mezi mi 4 kwaiyo bado iko vizuri tu. Bei tsh 95,000/= tu Kwa maelezo zaidi na sifa zake =} Huawei Ascend Y300 - Full phone specifications So kama uko interested nicheki Call 0713943432...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kuliza wadau ni duka gani linalouza sim aina techno manake mjini dar hapa maduka ni mengi na wajanja ni wengi unaweza kubabatizwa sim feki kwa bei ya original. Kuna ndg kajichanga huko...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Bei 75000, haijatumika
0 Reactions
5 Replies
857 Views
oi wadau nahitaji playstation 3 iwe inacheza games za memo,bajeti 400k tsh. pia kama mtu ana ps2 nazo zinacheza games za kwenye flash nahitaji,bajeti 100k tsh.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nikiangalia kule kwenye mtandao wa beforward, tradecarview na mingine kila Noah inayouzwa imetembea kuanzia KM 70,000 hadi KM 230,000. Lakini Kuna jamaa anauza gari Noah hapa Dar es Salaam...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Maada hapo juu yahusika, Naomba anayejua mahali wanapouza mashine hizo na gharama zake. Nawashukuru watu wa MUNGU maana humu hakuna lisilokuwa na majibu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Poleni na shughuli ,nina hitaji shamba kama heka kumi Kilindi tafadhali mwenye taarifa za bei anijuze 0655210221.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waungwana naulizia wapi nitapaza hiyo short course
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Iphone 6 plus(16 Gb) full boxed inauzwa. bei ni 1.4 mil. 0765464630
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mashine za kutotoleshea vifaranga vya aina zote mayai yatokanayo na jamii ya ndege. Ni mpya na full automatic na guarantee ya mwaka mmoja. Zina uweza wa kuchukua mayai 528 kwa wakati mmoja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dell Inspiron 3737... Core i7 1.8ghz boosted to 2.4ghz... ram 8gb and hdd 500gb... 2gb dedicated radeon GRAPHICS card... 17" LED Display... DvD-Writer... Brand New PC ***** Price is 900k *****...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shamba lenye ukubwa wa ekari 50, linauzwa segera (makutano ya barabara za dar-moshi-tanga) kwa bei ya shilingi laki 4.5 kwa ekari, kati ya hizo 20 ekari zimeshapandwa michungwa na 30 ekari...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji toyota vitz new model 2006,cc not more than 1500,any colour isipokuwa white,km zcizidi 100000 budget 8,000,000. call 0783380123/0762295954.
0 Reactions
0 Replies
719 Views
Tunaprint material mbalimbali kuanzia sticker,, one way vision (contravision), banners, reflective stickers, backlite etc. kwa bei nafuu zaidi. tunapatikana Temeke mkabala na gas station ya big...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, Hapa nauza freezer langu ambalo limetumika miezi miwili tu kwa sababu nahitaji hela haraka. Ambae anaihitaji anipigie: 0719105823..
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Camera used aina ya Sony potable inauzwa làki mbili na nusu 0657070203
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Back
Top Bottom