Nauza simu iliyo tajwa hapo juu..
Nokia lumia 720
INTERNAL 8 GB,
512 MB RAM
CAMERA 6.7 MP
FRONT CAMERA 1.3MP
BEI 200,000
Punguzo tunaongea..
For serious buyer ni pm
Mambo vipi wana jamii forum?
Natafuta pure germany shepherd dog aliye na umri kati ya mwaka mmoja na miwili, hasiwe amehasiwa.
Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwenye namba,
0784 407068
0762...
Kiwanja kipo Mtaa wa Muungano, Kilomita 1 kutoka kituo cha daladala mivumoni (daladala Zinapogeuzia).
Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 2000, Kiwanja kinakatwa kama ifuatavyo:--
20Mita Kwa...
Wakuu habari zenu,
Ni muda sasa nimekuwa nikitafuta kiwanja cha kuanza maisha bila mafanikio.
Ninahitaji kiwanja kilichopimwa chenye ukubwa usiopungua square metres 2500 yaani 50m kwa 50m.
Bajeti...
Kiwanja kinauzwa mita za eneo 1378 (Low Density) kipo Tanga mjini Masiwani shamba karibu na nursery school ya kisasa. Kimepimwa na kina hati (Title) iliyolipiwa. Eneo lina huduma ya maji na...
Sansan TV inchi 32 mpya nilipewa zawadi naiuza inaingia flash, HDMI, unaweza kuitumia kama monitor ya computer kwa 530k... Kama unataka nicheki apa 0718033066
Habari,
Nataka kufungua biashara ya kuuza saa, cheni, heren, bangili, lakini sijui sehemu ya kununua kwa jumla ili mimi niuze leja leja..
shukran kwa atakaye nisaidia.
Bajaji inauzwa aina ya TVS, Brand new, bado ina makaratasi. Ina plate number na road licence. Insurance haina, imetembea kutoka Go-down kufika kwenye makazi ya Mwenye nayo tu basi.
Bei: Milioni 6...
Hello,
We are professional trainers in office applications and many other professional and career enhancement areas. Our well organized tools and techniques are meant to shape your skills to...
Gari lenye hali nzuri japo sio jipya (used)...lenye 4WD kwaajili ya kuhimili barabara za vijijini linahitajika....gharama iwe reasonable...about 4mio to 5mio....mwenye nalo awe tayari mnunuzi...
Salaam wadau....nauza bata bukini jike na dume wa miezi 4 kwa laki 2 wote na Bata Mzinga dume wakubwa kabisa kwa elf 80 kila mmoja.Wako Morogoro Mjini. Contacts 0689900000.
Simu iko pouwa kabisa haina tatizo lolote.Ni ya touch, touch yake ipo pouwa kabisa,imetumika muda kidogo sana, mitandao ya kijamii ipo. wahi sasa bei sawa na bure simu bado mpya kabisa.
NICHEK...
Tunapokea order za kuprint/kuweka picha kwenye T-shirt au nguo kwa gharama nafuu sana..
Ukija na materials yako kwa maana tshirt na printing paper ikiwa tayari, tutakuprintia kazi yako kwa...
Pikipiki ya kampuni ya bajaj boxer bm 150 inauzwa...ilikuwa inatumika kwa matumizi binafsi na si bodaboda...ni 1.5...ina miezi 8 tangu inunuliwe....1.6m...
Aliye tayari ani cheki kwa whatsapp...
Avivacious bungalow with classic style, totallyspecial and unique that is ideal for someone having superb sense of taste in property. The house comprises 3 bedrooms one being stylish en-suite...
Nyumba hii imejengwa na kujengeka kwa vionjo vyote vya kisasa kabisa. Umbo lake la njena ndani, muundo wake, na uzuri wake wa kila mahali vinamfaa mtu mwenye ladhahalisi ya viwango vya ubora wa...