BARISON SEPTIC SOLUTIONS CO Ltd, Ni kampuni inayohusika na system za choo ambazo hazijai na haina haja ya kuchimba mashimo makubwa ndani ya Nyumba yako, System inaitwa Bio digester kazi yake kubwa...
ninauza kabati za aluminium kwa ajili ya kuhifadhia dawa.ni kabati nzuri na kubwa.napatikana maeneo ya mbezi mwisho.namba hizi zitakupa maelezo zaidi0687883420
Kuna jamaa yangu anataka kununua hii gari, ILA nimemwambia asubiri tupate ushauri kutoka kwa wataalam hapa JF.
Vipi hizi gari imara?? Zenyewe zina cc 1000 na 1300 sasa yeye ni mtu wa safari...
nauza nyumba 2 kwa mpigo kwa milioni 60.zina hati na documents zote muhimu.Nyumba ziko majohe ni dakika tano tuu kufika kutoka stendi ya dalala dala ya majohe.Gari linafika bila wasi wasi kma upo...
Frem zinapangishwa, zipo hapa Mwenge oposite na maghorofa ya jeshi near TRA, bei kuna moja ya 200,000 na kuna ya 100,000 by dalali..
Call Me 0713415537, NB zile za mwanzo za 300 zimeshapata mtu.
Habari wana JF na wote mlioamua kutumia muda wenu kupitia uzi huu.
Sisi ni wakala ambao kwa sasa tunapatikana jijini Dar es Salaam.
Katika awamu ya kwanza, tunafanya shughuli zetu katika maeneo...
WAKUU HBR ZA JUMAPILI?NATUMAI KWA MSAADA WA MUNGUVBABA MU WAZIMA NA MNAENDELEA VEMA NA MAPUMZIKO YA WIKI ENDI.
NAMSHUKURU SAANA MUNGU KWA AJILI YENU PIA,
Msaada tafadhali nini tofauti halisi ya...
Viwanja vianauzwa, eneo ni Madale Kisauke karibu na pangaboy complex kwa wanaofahamu, Ni kama kilomita na nusu toka yalipo makazi ya waziri mkuu wa zamani (R.M.KAWAWA).
Ukubwa ni square meter 800...
Naitaji mbao treated nyingi za;
2 x 2 = 280 pcs ndefu
4 x 2 = 305 pcs
1 x 10 = 18 Fascia Board
Zinahitajika ndefu kwenye futi 18 au zaidi. Natafuta zenye bei nzuri sana sababu nahitaji...
Nyumba inauzwa iringa-mtwivila karibu kabisa na shule ya viziwi.
Ina vyumba vinne kimoja master,stoo,jiko,sebule,choo na bafu vya public
ina eneo kubwa la akiba waweza jenga nyumba nyingine...
Wapendwa,
Laptop yangu naona imepata shida ya hard drive.
Nahitaji hard drive tajwa hapo juu. Nipo Arusha.
Naomba unijulishe Kama unayo na Kama naweza kuipata Arusha na bei yake
Asanteni
Wakuu habari natafuta vifaa vya mahaba kama sieve analyser' oil content analyser,Digital moisture meter and protein analyser. Mwenye navyo tuwasiliane kwa 0654000253
Ewe mjenzi sasa unaweza kupata tiles bomba na za kupendeza katika mwonekano tofauti. Duka lipo Kariakoo makutano na Lindi na Swahili, utapata za ukutani na za sakafu hazipauki na hazichubuki...
Habari!
Kuanzia kesho Molii kitchen tunaanza kudeliver chakula na matunda. Na menu ya kesho ni BEEF MASALA pamoja na NDIZI MZUZU NA SALAD. Toa order yako mapema. Bei zetu ni 6000 na 2000 ya...