Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,499
- 6,898
Kuna jamaa yangu anataka kununua hii gari, ILA nimemwambia asubiri tupate ushauri kutoka kwa wataalam hapa JF.
Vipi hizi gari imara?? Zenyewe zina cc 1000 na 1300 sasa yeye ni mtu wa safari itamfaa?? Vipi kuhusu durability na comfortability?? Uimara na spea zake??
Msaada wataaalamu
Vipi hizi gari imara?? Zenyewe zina cc 1000 na 1300 sasa yeye ni mtu wa safari itamfaa?? Vipi kuhusu durability na comfortability?? Uimara na spea zake??
Msaada wataaalamu