makohnstruct
Member
- May 8, 2015
- 28
- 7
Habari wana JF na wote mlioamua kutumia muda wenu kupitia uzi huu.
Sisi ni wakala ambao kwa sasa tunapatikana jijini Dar es Salaam.
Katika awamu ya kwanza, tunafanya shughuli zetu katika maeneo ya Kinondoni, Upanga, Kariakoo na mjini kati. Na kwa kiasi fulani tumejitanua kuelekea mikoa ya Pwani na Morogoro. Kazi zetu tunafanya kwa ueledi na umakini wa hali ya juu.
Zaidi ya hapo tunamsikiliza mteja na kumjali yeye, muda wake, pesa na mali yake.
Tuna nyumba, apatimenti, ofisi, na fremu za maduka zilizo wazi na zinahitaji wapangaji na wanunuzi, katika maeneo tajwa hapo juu, pia maghala sehemu mbalimbali za jiji, bila kusahau viwanja na mashamba. Isitoshe tunapokea oda kwa wahitaji wa mali.
Pia tunakaribisha wamiliki wenye mali tajwa hapo juu katika maeneo tajwa hapo juu au mengineyo kuingia makubaliano na sisi ili tuwatafutie wateja kwani tunatumia teknolojia ya mawasiliano rahisi na ya kisasa kuweza kuzitangaza mali zao na hatimaye kupata wateja.
Kwa yeyote mwenye uhitaji asisite kupiga simu/whatsapp namba +255786157788.
Wote mnakaribishwa. Asanteni.