Bia batta
Member
- Aug 18, 2015
- 66
- 34
Viwanja vianauzwa, eneo ni Madale Kisauke karibu na pangaboy complex kwa wanaofahamu, Ni kama kilomita na nusu toka yalipo makazi ya waziri mkuu wa zamani (R.M.KAWAWA).
Ukubwa ni square meter 800, 1000 na 3000 thou vipo vichache vya sqm 500 na 600.....Bei ni 18,000 kwa square meter (bargaining/negotiation inakubalika). Ukiwa interested na kuhitaji maelezo zaidi please nifikie kwa number 0713480118.
Asanteni na samahani kama post haiko kwenye uwanja sahihi.
Be blessed and have a nice day y'all.