Simu tajwa hapo juu inauzwa, ipo katika hali nzuri haina clerk hata moja, nmeambatanisha na picha kibao za hyo simu. Bei ni 300,000/= ingawa inaweza ikashuka kidogo. kama upo interested nicheck kwa 0713672532 au nipm tufanye bussiness
imeumika miezi kama mitano tu mkuu
imeumika miezi kama mitano tu mkuu
usijali but sina uhakika saaaana kama utaikuta..... but ngoja tusubiriDu ukiwa nayo kufikia tarehe 10 mwezi huu nitaichukua
laki 2 hapana mkuuChukua laki 2? Leo leo nakupa pesa yako
Chukua mia mbili hamsini
Njoo PM