Nahitaji Desktop ya dell kwa anayeuza

Nahitaji Desktop ya dell kwa anayeuza

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,061
Reaction score
1,367
Kama kicha cha habari kinavyojieleza, nahitaji Desktop ya Dell wakuu, yenye kuanzia ram 2gb

Kwa anaeuza karibu tufanye biashara

Nicheki 0716863406 bei isizidi laki unusu
 
nnacho na nnakiuza ila kwa kuwa ww n ccm sikuuzii.. ntagawa bure kuliko nkupe ww GAMBAZ mwana malevya
 
nnacho na nnakiuza ila kwa kuwa ww n ccm sikuuzii.. ntagawa bure kuliko nkupe ww GAMBAZ mwana malevya

mkuu mimi ni Kamanda full, ilo jina tu angalia hata post zangu, na sasa nipo kwenye kampeni za benson kigaila hapa dodoma mjini kumuangusha gamba Mavunde, kama unayo kweli naomba tufanye biashara
 
Back
Top Bottom