Habari wakuu,
Nauza perfyume za aina mbalimbali zinazotoka Ufaransa za kiume/kike ambazo ni za mafuta hazijachanganywa na alkohol.
Perfyume hizo ni original hazijachakachuliwa.
Bei sh...
Kiwanja chenye eneo la mita za mraba 968 (44mx22m) kinauzwa shilingi milioni 65. Kiwanja hicho kipo umbali wa takribani mita 150 (nje ya barabara) kutoka kwenye kituo kidogo cha basi cha Namanga...
Pata vitabu mbalimbali kutoka Tanzania Educational Publishers kwa ajili ya Kilimo na Mifugo,Sheria na Haki za Binadamu,Siasa na Maendeleo, vitabu vya watoto,Hadithi/Riwaya na vingine vingi. Kwa...
Habari wakuu,
Eh bhana jana nlikuwa maeneo flani ya migomigo nikaona wale mawakala wa startimes wakiwa kwenye fuso wanapromote king'amuzi chao kipya kwa stunt ya "BUNDESLIGA".
Mmoja wao alikuja...
shamba linauzwa:
eneo: kigamboni
ukubwa: heka 3
shamba lipo mita kadhaa kutoka barabarani, umeme na maji yamefika katika eneo hilo.
bei: 10mil kwa heka 1
heka 3 = 30mil
maongezi...
TUNAWEZA learning centre tunatoa huduma ya kujifunza kiingereza (English course ) kwa watu wazima.
Tunapatikana Mbezi Africana na muda wa masomo ni jioni saa 11 mpaka saa 1, kuanzia jumatatu...
Nahitaji kioo...(display)ya simu aina ya SONY Z4....sio original ni copy......Nipo Dar es Salaam......
Kwa msisitizo....simu ni SONY Z4....copy.....
Kama unacho nitumie pm au niwekee namba zako...
Kwa wanaJF wote na wasomaji wote wa JF, kama ilivyo ada, nawafahamisha na kuwakumbusha kuwa Kmapuni yetu Ya KIMI, inafanya kazi na watu wote wenye mipango ya uwekezaji na wale walio katika...
Kwa muitaji tafadhari PM namba yako nkutumie picha.
Ni sofa ya L-shape
Inarangi tatu nyekundu, zebra na black
Ipo dar
Bei 500,000 maongezi yapo
Muuzaji anahama mkoa sasa anauza vitu vyake
FREMUYA BIASARA INAPANGIHWA
Ipo barabara ya changombe:
Ni nzuri ina foor tlises na mlango w allumium wa ku slide.
Mkataba ni miezi 6, na kodi ni nzuri laki mja kw mwezi
wasiliana na 0713 689665
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.