Tunachapicha na kuuza vitabu mbalimbali

Tepu

Member
May 15, 2015
13
4
Pata vitabu mbalimbali kutoka Tanzania Educational Publishers kwa ajili ya Kilimo na Mifugo,Sheria na Haki za Binadamu,Siasa na Maendeleo, vitabu vya watoto,Hadithi/Riwaya na vingine vingi. Kwa mawasiliano zaidi piga simu No+255 685 997 583/+255 0758147871 au tembelea tovuti yetu www.tepu.co.tz
Soma Vitabu upate maarifa, Karibuni sana
 

Attachments

  • mimea ya matunda.jpg
    mimea ya matunda.jpg
    286 KB · Views: 28
  • kanuni za ufugaji bora.jpg
    kanuni za ufugaji bora.jpg
    183.4 KB · Views: 30
  • haki na kero mahakamani.jpg
    haki na kero mahakamani.jpg
    69.3 KB · Views: 33
  • Bat2.jpg
    Bat2.jpg
    8.9 KB · Views: 25
je kwa mtu aliye Dodoma analazimika kuja Bukoba? kuna kazi yangu ningependa kuchapishwa vitabu kama nakala 500. pg 100 @. je gharama zake zikoje?
 
Back
Top Bottom