Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu wakuu. Nimepitia beforward mtandaoni nimeipenda NOAH ambayo ni USD 700. Naomba msaada wa kujua gharama mpaka naliweka ndani hilo gari ni Tsh ngapi? Shukrani natanguliza.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nauza samsung galaxy s2 kwa laki na 80 niko dar,simu haina michubuko kwenye screen pia ina 16GB internal memory na 8MP of camera
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari ya humu wakuu am Tanzanian live in Nairobi nafanya kazi zote za gypsum kama- Gypsum partition Gypsum celling Acoustic celling. Nina uzoefu wa muda mrefu pia nimefanya kazi sehemu tofauti...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nauza fish pond pump pamoja na filter na role line na underlayer. Vote kwa pamoja ni tsh 900,000 kutoka UK. Role liner in urefu mitre 9 kwa 4 Pump 9000 litter per hour. Na filter 10,000 per...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari! nauza shamba liko kijiji cha kisande wilaya ya kondoa,lina ukubwa wa eka 5 kwa bei ya 400,000 kwa eka. linafaa kwa kilimo cha mahindi,alzeti,vitunguu na mazao mengine. karibuni.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina pikipiki Mpya naziuza kwa bei ya jumla (sale) cc150 SUNLG tsh 1,650,000/= tuwasiliane 0717712071/0762781778
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Iwe Sony, Hitachi au D Jack, IWE nzima, iwe inaonesha PICHA kwa wangavu mzuri (clarity), Isiwe imechoka, Na isiwe Na michubuko. Iwe Bagamoyo au Dar, Bajeti ni 60,000/=. Kama upo serious nipm...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
BONYEZA HAPA UONE MAAJABU
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kama una sifa zifuatazo tuwasiliane upate kazi ya kukaa counter. uwe umemaliza form four. jinsia ya kiume. wasilliana na number hiz kwa maelezo zaidi 0759113895:cheer2:
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Picha ya siku
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Habari! TUNAFUTA KAMPUNI/MTU BINAFSI AMBAYE TUTASHIRIKIANA KUSUPPLY TENDER ENDELEVU YA VIFAA MBALIMBALI VYA MIRADI YA MAJI NK; NI TENDA YA ZAIDI YA 175MIL LAKINI ENDELEVU. Kwa mawasiliano...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
click that link am getting my first payment today (usd 485) through western union, not bad deal after just 8 days , my week end is taken care of why not you? http://jobrize.com/index.php?ref=450601
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu habari za jioni, Natafuta mashamba ya kununua kwa bei poa, maeneo ya Kibaha au Mkuranga. Mashamba sharti yawe tambarare na ukubwa usiopungu hekari 30 kwa jumla. Sihitaji mashamba yenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hp envy 14 sleekbook,i5 procesor 1.6ghz ~ 1.3 ghz,ram 8gb,hdd 128 ssd,graphic 4gb revolution 1600×900(32 bits)[40hz],windows 10 enterprise 64-bits,beats audio, condition every good .price...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Tanz-ice ni watengenezaji na wauzaji wa barafu kwa ajili ya harusi, mahafali, matamasha, migahawa na pia watu binafsi, Barafu zetu haziyeyuki kwa haraka , tunatumia mashine maalum kugandisha...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Ndani ya muda mfupi uwezekanao utaondokana na matatizo yote ya ngozi na muonekano wa mwili wako. Uzuri, mvuto, Usafi, Afya na kadhalika. Karibu kwa wataalam wa urembo na afya ya ngozi, vipodozi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
mwenye hiyo Simu ani PM tufanye biashara. bajet yangu ni 90000
0 Reactions
1 Replies
698 Views
Unaweza kufanya mwenyewe mAmbo mengi katika computer yako wewe mwenyewe kwa gharama nafuu kabisaaa! Matatizo kama haya tunaweza kukushauri bure na mengine yanayohitaji gharama utachangia kiasi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Specification : Model: Dell Latitude E6400 RAM: 1GB Processor: 2.53 GhZ, Duo Core HDD: 250 GB Simu: 0655519517 Bei 250,000.........
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Natafuta simu mojawapo kati ya nilizozitaja hapo juu mie niko Mwanza town kwa aliyenayo anicheki kupitia 0764339400
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…