noel2512
Member
- Feb 26, 2015
- 80
- 14
Nauza incubator ya umeme. Ni automatic tuning na ina control humidity(unyevu) pia. Ni Imported kutoka UK na imetumika kidogo tuu. Uwezo wa mayai inayochukua ni 380 kwa kuku. Inaweza pia kutotolesha bata, bata bukini, bata mzinga, kwale na ndege wote kwa ujumla. Bei yake ni Tshs 2,500,000. Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwenye PM na hapa pia. Nunua kilicho bora upate kutotolesha vifaranga bora.
Asanteni!
Asanteni!