DUMEGUY
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 499
- 206
s5 inauzwa inacrack kwenye mfuniko kwa nyuma ni og bei chee tatizo mfuniko wa kubadili tuu haina tatizo lolote lingine kwa 380000. nipm
sio copy mkuu ni og
hiyo sio Original, ni zile clone. Angalia vitu hivyo nimeonyesha kwa mshale mwekundu.s5 inauzwa inacrack kwenye mfuniko kwa nyuma ni og bei chee tatizo mfuniko wa kubadili tuu haina tatizo lolote lingine kwa 380000. nipm
hiyo sio Original, ni zile clone. Angalia vitu hivyo nimeonyesha kwa mshale mwekundu.
1. Lens ya Camera. Hiyo camera lens ya simu yako ni size ndogo zile za VGA (0.3mp au 1.3mp). S5 Original ina lens kubwa.
2. S5 Original kwa nyuma ukitoa mfuniko in screw 3 tu ili kuwezesha water resistance. Hiyo yako in screw 9.
3. Utofauti mwingine kwenye flash light ya camera.
4. Tofauti nyingine kwenye huo mshale wa R1 R2
![]()
Original inakuwa hivi:
![]()
hiyo sio Original, ni zile clone. Angalia vitu hivyo nimeonyesha kwa mshale mwekundu.
.....