Kwanini unakosa fursa ya kutangaza biashara,kanisa,shule,kiwanda,hospital, kampuni n.k duniani?
Sasa tupo kwa ajiri yako.
Pata website yenye mwonekano wa kisasa na wakuvutia kwa Tsh 350,000 tu...
Huwa nafanya safari za Mby -dar-mby kwa kutumia Gari Noah.
Safari hizi huanzia Mby MJINI/ au Uyole hadi Shekilango Dar. Hufanyika jioni, hivyo kuingia Mby au dar alfajili au asubuhi kabla ya SAA...
Naitaji eneo la kununua lenye madini (gold) lenye ukubwa kuanzia km1
naitaji eneo ilo kwaajiri ya kuchimba madini (gold)
vigezo....
Liwe na vibari harari na vinavyo tambulika kiserikari na...
Mambo zenu wadau kitu chasumsung
galaxy note 3 original na box lake,
imetumika kwa miezi 9, iko katika hali nzuri
na haina tatizo lolote
INTERNAL MEMORY : 64 GB
RAM: 3gb
CAMERA:13mp
Android...
Ipo katika hali nzuri sana, bei nafuu.
Body ni full metal and glass.
Cpu ni 2.5ghz quad-core, ram 2gb, int memory 16gb, memory sd up 128gb.
Orig htc dot view cover.
Ni nyumba yenye vyumba vinne,choo na sebule.Nyumba ni Mali yangu binafsi, ina umeme wa luku na maji yako jirani.Bei ni milioni thlathini maongezi yapo
Mawasiliano,0654865376,0757265744
Plot inauzwa maeneo ya mwembe mdogo kigamboni ni mita 50 kutoka main road kiwanja kina ukubwa wa mita 30*30 lakin hakijapimwa.
0764503076. Bei milion 6.5
Wadau nauza simu aina ya techno C8,
Ina rangi nyeupe, 5.5" screen, 1gb ram, 16gb ROM, Os ni 5.1 lollipop, unapata cover, chaja, earphone, kwa 290,000/= tu, anayehitaji anipate kwa simu
0768729731.
Nataka kununua, Spike kubwa, Buster moja Mixa moja Kinanda n.k vyote vya kanisani anaefahamu duka linalouza vyombo vya uhakika ani PM aweke namba ya simu ya Tigo.
Tuwasiliane mimi nipo Moro..
Kama unataka kuongeza mita,kuingiza umeme, kuanzia nguzo 0 mpaka tano wasiliana nami utashughulikiwa kulingana na uhitaji wako.. kwa njia halali (hapa ni express services) karibu..dar esalaam...
TANGAZO LA BIASHARA
KIWANJA NA. 118 KILOLO WILAYANI, KINAUZWA!
Kipo kijijini LUGANGA, mita chache sana kutoka kwenye ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, mita chache sana pia kutoka kwenye ofisi...
Kiwanja kinauzwa kipo karibu na Airport Dar es Salaam. Ni kikubwa cha kuweza kujenga nyumba ya vyumba sita, parking na sehemu ya kupanda miti. Wahi kukinunua wakati huu tukielekea kwenye mvua ili...
Hbr wana JF,
Naomba anaefaham vizuri namna ya kuitambua simu original aina ya Samsung galaxy note 3 anisaidie nina mpango wa kuinunua ths week.
Thnx in advance. ..
Nasikia kuna jiko linasonga ugali lenyewe, hapo hapo linapika wali na linasehemu ya kupikia mboga, pia lina friji sijui oveni ya kutunzia chakula kiendelee kuwa cha moto. Vyote hivyo vinakuwa...
Nauza cm tajwa apo ni bdo mpya kbsa haina michubuko popote ntakupa chaja,earphone na na cover lake ipo na screen protector imetumika mwez na nusu kw anae itaj nchek kw namba 0653557633 npo dar.ina...
Sasa udongo wetu Aunt Zainab's Natural Super Clay unapatikana Arusha. Huu udongo ni 100% wa asili, haujaongezwa chochote na moja ya matumizi ni kama liwa lakini una ubora zaidi ya liwa.
Kwa...