LULAMSO
Member
- Apr 26, 2013
- 56
- 9
TANGAZO LA BIASHARA
KIWANJA NA. 118 KILOLO WILAYANI, KINAUZWA!
Kipo kijijini LUGANGA, mita chache sana kutoka kwenye ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, mita chache sana pia kutoka kwenye ofisi za Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo.
Kimepimwa, ni maalumu kwaajili ya Makazi, katika maeneo yenye msongamano mkubwa wa makazi, yaani (High Population Density). Kinafaa sana kwa matumizi ya Ofisi kwa taasisi zinazohudumia makundi mbalimbali ya UMMA katika Jamii pia.
Maeneo mengine mhimu yaliyokaribiana nacho ni pamoja na;
Stand Mpya ya magari ya abiria-Kilolo, Sheri Luganga, Luganga Guest House, Barabara kuu kuelekea Iringa Mjini na ni Kandokando ya barabara inayoelekea Kilolo Sekondari.
Gharama yake ni nafuu sana, ni Tzs 3,500,000/= tu! (Milioni Tatu na Laki Tano Tu!).
Ikiwa utahitaji, tuwasiliane kupitia namba;
0767 243 034/ 0622 243 034/ 0787 263 034/ 0715 243 034
KARIBU SANA!